Ndo nimeachwa hivi au?

Jombaa Wanawake wanapenda kutikisa kibiriti, Solution ni hii.....
1-kubali kuwa amebadilika na huwezi kumbadili.
2-Usiweke ishara ya kukasirika na kuuzunika katika mitandao unayo share nae especial WhatsApp status and profile...weka picha zako ulizo tabasamu
3-kaa kimya usimtafute
4-usimtafute
5-usimtafute tena
 
Una kipaji sana .. yaani mpaka leo bado unayo namba yake tu ..duhh !!!
 
Hapa nimekuelewa kweli na dhahiri na huu ndio mtindo wa kuwa dumped ulioenea sana kibongo bongo, sasa kama jamaa yako hakupi hela kwanini maamuzi yawe kumsaliti kwa kujiingiza kwa bf mwingine instead ya wewe kutafta kazi?
 
waargertina wana methali yao moja.

Mwanamke ni kama kivuli ukikifuata kinaondoka,ukiondoka kinakufuata.

watongozaji wazuri wote duniani hapa at same point wanatumia hii formula.
 
Soma kwa umakini ushauri wa wadada upate mwanga
 
got the Point
 
nimefuata ushauri huu mkuu asantee
 
Kuna mjanga kashabadili pincode hapo. Ndo basi tena tuendelee na movie yetu ya korosho
 
Yaani bado unaendelea kupiga sim tu! Wenzio wanaipiga papuchi muda huu.
Cha msingi na wewe mpotezee
 
Mzee baba hapo kuna njemba isha chukua nafasi..
 
Na mimi niliachwa hivyo. bora wanatwambia tu wapema ili tujipange kisaikolojia.
 
Kueni kwanza mnasound Kama bado madogolasi ivi....
 
Usiandike tu got the point kama huishi naye mtaa mmoja iyo ni fursa ya kutafuta demu mwingine uku unapunguza polepole kumtafuta maana maumivu ya kumpenda mtu hayatoki polepole ukipata mpya ukimzoea uyoo tupa kule na mwanaume unakuaje na demu mmoja aisee uwoo ni ungesee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
waargertina wana methali yao moja.

Mwanamke ni kama kivuli ukikifuata kinaondoka,ukiondoka kinakufuata.

watongozaji wazuri wote duniani hapa at same point wanatumia hii formula.
Hii nimeipenda mzee baba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…