Ndo nimeachwa hivi au?

Mzee Jiongeze au mpaka akwambie mm na ww basi

uanze kuugua presha afu ufe ghafla ghafla??
 
Miaka ya nyuma iliwahi kunitokea hata mimi, mchumba wangu wa kike tuliyekuwa tunawasiliana vizuri na kuoneshana mapendo alibadilika ghafla mawasiliano yakawa magumu sana, simu hapokei, meseji hajibu hatakama nilimtumia kifurushi bado alikuwa mzito sana kunijibu sms.

Lakini wakati huo roho yangu ilikosa amani naye, ilinambia sipaswi kumwamini kabisa badala yake nitafute binti mwingine nimuoe.

Nikatafuta binti mwingine nikaoa, baada ya kusikia nimeoa akaanza kunisumbua na meseji akitaka nimuoe mke wa pili, nikamwambia haiwezekani pambana tu na hali yako.


Sikiliza roho yako inakushauri nini, usifuate moyo tafadhari.
 
Nasisitiza, ukiona demu hapokei call wala kujibu txt, you better let her go, yaan we PIGA CHINI.
 
Kusoma hujui hata picha huoni? Move on with your life.
 
Pole na hongera swahiba!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…