kwani ulimfanyaje?
Mbona mambo ya sms yashapitwa na wakati, kwani hata akijibu ndo utaamini anakupenda?? aweza tuma hata sms mia kwa siku but kama hakupendi au sio mwaminifu itabaki kua hivyo tu, to that extent, nakushauri hebu mpe ka muda apumzike!!! otherwise ndo unazidi kunpeperusha, lakini wewe ni muoaji au mpita njia, kama huyo hakupendi kuan BIG MAMA na Mdada flani hapa JF walikua wanatafuta wanaume

I just yelled at her n told her to quit (I was angry and had stresses by the moment.) bcoz she didn't show to care, she'z so lazy on answering my messages.
how old are you anyway?!!!
Preta, mie huyu nilie nae enzi zile hakukua na cm but tulifanikiwa kufika hapa tulipo, mie naona huyu binti anataka tu kumsumbua kijana wangu; ila kumbukeni kina dada; Wanaume waoaji ni wachache sana sasa kama unataka ubembelezwe kwa staili hio atatokea mwenzio aitumie hio nafasi vizuri, namaanisha kuwa, kutofautiana kupo but siyo unune wiki, haya sasa hatuishi wote unanuna wiki hapo tukiwa wote itakuaje? kwa hio nikubembeleze tuuuu, jamani hatuna mambo mengine ya kufanya?? ngoja ntwapa experience yangu
na hapo ndipo atakapoambiwa amnunulie gari wakati hata basikeli hana, ataambiwa amnunulie Blackberry wakati yeye ana c25 Twanga pepeta ya enzi za mwalimu.mharibifu wewe Elli.....mwaya kodabosi m'bembeleze....wasichana huwa tunapenda kubembelezwa sometimes.....inaelekea ulikaa muda mrefu hujam'bembeleza na kumuonyesha yeye ni spesheli....huwa tunatest zali....huyo hakumwagi wala nini.......
I just yelled at her n told her to quit (I was angry and had stresses by the moment.) bcoz she didn't show to care, she'z so lazy on answering my messages.
Tatizo letu ni kwamba yeye ni mvivu sana wa kujibu msg'z zangu n we are far apart, na ninapomuuliza anasema nachukulia mambo so lite.