Ndo napigwa chini nini?

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,328
7,772
Wana JF,
recently av bin havin misunderstndings wth my GF. I admit I did her wrong. But for over a week now I've been calling her to apologise so that we can be as before, but she doesn't forgive me. Sometimes she dozn't even pic up a call.
The thing iz, when I ask her if she stil loves me she used to say she doesn't feel like loving me as before, and when I ask if she want to break up with me she says "Not Really"
inanichanganya sana hii kitu, maana I ril love her n it's my first time to Luv that much.

Wana JF is this a sign that ndo napigwa kibuti au? maana sielewi n sijawahi pigwa kibuti. What should I do??
Na kama ikatokea nikapigwa chini, nifanyaje?

Guyz I ril nid ur ideas,
 
Hicho ni kibuti jamaa yangu ila anashindwa kukupasulia kiuwazi uwazi...jiandae kutupiwa virago vyako.....................na kukushauri siwezi kwa sababu sijui kiini cha mitafaruku yenu labda ukifafanua zaidi..........haitoshi kusema bado unampenda.................ni muhimu kujua mabadiliko kwake yamesababishwa na nini.........yawezekana tabia zako zinamchefua...................au kuna njemba imekamata usukani..........................
 
Inaelekea alikuwa anakutafutia sababu,,,,,,,,,,,chamsingi,,,,mshukuru,,na umrudie Muumba wako,,ni yeye tu ndio atakayekukuonyesha yule aliyekuandalia,,ukijifanya kungangania ujue mbeleni lazima itakugarimu,,,ndo dada zetu walivyo
 
kwani ulimfanyaje?

I just yelled at her n told her to quit (I was angry and had stresses by the moment.) bcoz she didn't show to care, she'z so lazy on answering my messages.
Tatizo letu ni kwamba yeye ni mvivu sana wa kujibu msg'z zangu n we are far apart, na ninapomuuliza anasema nachukulia mambo so lite.
 
Mbona mambo ya sms yashapitwa na wakati, kwani hata akijibu ndo utaamini anakupenda?? aweza tuma hata sms mia kwa siku but kama hakupendi au sio mwaminifu itabaki kua hivyo tu, to that extent, nakushauri hebu mpe ka muda apumzike!!! otherwise ndo unazidi kunpeperusha, lakini wewe ni muoaji au mpita njia, kama huyo hakupendi kuan BIG MAMA na Mdada flani hapa JF walikua wanatafuta wanaume
 
mharibifu wewe Elli.....mwaya kodabosi m'bembeleze....wasichana huwa tunapenda kubembelezwa sometimes.....inaelekea ulikaa muda mrefu hujam'bembeleza na kumuonyesha yeye ni spesheli....huwa tunatest zali....huyo hakumwagi wala nini.......
 
Mpe muda asahau we kila siku unamsumbua baada ya kumchefua kaishasema hataki muachane,kaa kimya wiki halafu mpigie sio sms tena.
 
Mbona mambo ya sms yashapitwa na wakati, kwani hata akijibu ndo utaamini anakupenda?? aweza tuma hata sms mia kwa siku but kama hakupendi au sio mwaminifu itabaki kua hivyo tu, to that extent, nakushauri hebu mpe ka muda apumzike!!! otherwise ndo unazidi kunpeperusha, lakini wewe ni muoaji au mpita njia, kama huyo hakupendi kuan BIG MAMA na Mdada flani hapa JF walikua wanatafuta wanaume

Muoaji kaka..) if thingz wil b OK, then nikirudi home nxt yr lazima apelekwe ukweni)
 
Preta, mie huyu nilie nae enzi zile hakukua na cm but tulifanikiwa kufika hapa tulipo, mie naona huyu binti anataka tu kumsumbua kijana wangu; ila kumbukeni kina dada; Wanaume waoaji ni wachache sana sasa kama unataka ubembelezwe kwa staili hio atatokea mwenzio aitumie hio nafasi vizuri, namaanisha kuwa, kutofautiana kupo but siyo unune wiki, haya sasa hatuishi wote unanuna wiki hapo tukiwa wote itakuaje? kwa hio nikubembeleze tuuuu, jamani hatuna mambo mengine ya kufanya?? ngoja ntwapa experience yangu
 
Wanawake ni hatari sana. Uckubal ayaharibu maisha yako. Ktk dunia hii wapo wanawake weng sana na wazuri na wenye kujuwa mapenz kuliko huyo. Just put ur thngs on prayer, work hard dy and nght ukiamini wewe ni mwanaume mzuri na baba wa watoto wazuri sana. Huku ukiamini your wife is sm where in ths world and she hv every thng 4u. Keep on faith na umuache huyo anamtu anamchanganya mwache ucjiumize. Yes u can...
 
Preta, mie huyu nilie nae enzi zile hakukua na cm but tulifanikiwa kufika hapa tulipo, mie naona huyu binti anataka tu kumsumbua kijana wangu; ila kumbukeni kina dada; Wanaume waoaji ni wachache sana sasa kama unataka ubembelezwe kwa staili hio atatokea mwenzio aitumie hio nafasi vizuri, namaanisha kuwa, kutofautiana kupo but siyo unune wiki, haya sasa hatuishi wote unanuna wiki hapo tukiwa wote itakuaje? kwa hio nikubembeleze tuuuu, jamani hatuna mambo mengine ya kufanya?? ngoja ntwapa experience yangu

tupe experience mkuu...ili tusijevurunda
 
mharibifu wewe Elli.....mwaya kodabosi m'bembeleze....wasichana huwa tunapenda kubembelezwa sometimes.....inaelekea ulikaa muda mrefu hujam'bembeleza na kumuonyesha yeye ni spesheli....huwa tunatest zali....huyo hakumwagi wala nini.......
na hapo ndipo atakapoambiwa amnunulie gari wakati hata basikeli hana, ataambiwa amnunulie Blackberry wakati yeye ana c25 Twanga pepeta ya enzi za mwalimu.

MPOTEZEE tena MKIKUTANA kuwa standby na pilipili tafuna huku umemtazama
 
Ok, shemeji yenu nilimpata akiwa form four huko kijijini tena baada ya basi kuharibika, ndo nilijitutmua kumsaidia mizigo, then we came into relation for ten years later, we had our ups and downs too but we never involved others in our misunderstandings! Kikubwa, jishushe mpwa, otherwise utaishia pabaya! The best thing nikuelewa the dos and donts za mwenzio, sie tulikua tunaandikiana barua tu, sometimes zisomwe au zipotee, kikubwa ilikua ni appointment, zilikua za uhakika, hakuna kumiss wala kuchelewa
 
I just yelled at her n told her to quit (I was angry and had stresses by the moment.) bcoz she didn't show to care, she'z so lazy on answering my messages.
Tatizo letu ni kwamba yeye ni mvivu sana wa kujibu msg'z zangu n we are far apart, na ninapomuuliza anasema nachukulia mambo so lite.

Mh ni mvivu kujibu sms au sms zako tu ? Sweetheart distance relationships are very difficult kwa kweli. But kama unaona huridhishwi na majibu yake hebu mwache kidogo.............. si ushaomba msamaha? saas tulia stop calling as you do now, stop sms then uone kama atashtushwa na mabadiliko hayo au la. Akishtushwa then you will have a chance to discuss your issue but if she wont.... then ulishakula kibut muda mrefu sana just that alikuwa hawezikusema..... and so it is better soon than late caz you might invest your feelingz to a place where business environment is not condusive. Best of Lucky
 
Tuma sms sasa ivi ya ku-apologize usieleze kwa kirefu, tuma fupi tu na mtakie usiku mwema! so appreciation
 
I just yelled at her n told her to quit (I was angry and had stresses by the moment.) bcoz she didn't show to care, she'z so lazy on answering my messages.
Tatizo letu ni kwamba yeye ni mvivu sana wa kujibu msg'z zangu n we are far apart, na ninapomuuliza anasema nachukulia mambo so lite.

tafuta wa kukuchangamsha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom