babulakibaha
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 287
- 325
Si bora dagaa zako zimekaangwa kwa mafuta?Dagaa
Kwamba maisha magumu ameshasahau kula nyama...sasa ni kauzu pekeeKwa kuwa hujaweka maelezo nashindwa nichangie nini. Huo mlo unausifu, unaukashifu au unatukaribisha?
Kuna post zingine unajiuliza huyu alitaka kuleta ujumbe gani kwa jamii uhuru wa namna hii hapana
Hilo Dagaa Kauzu unaingiza sana kuliko hizo Nyama.Kwamba maisha magumu ameshasahau kula nyama...sasa ni kauzu pekee
Kweli mkuu, binafsi napenda sana kauzuHilo Dagaa Kauzu unaingiza sana kuliko hizo Nyama.
Basi tu, tunalichukulia Kauzu kama ni Mlo wa hali ya chini.
Na Kauzu siku hizi Bei imesimama sana, hasa Kauzu la Kigoma
Hunishindi Mimi.Kweli mkuu, binafsi napenda sana kauzu
Kama ndiyo mawazo yake hayo basi tunatofautiana. Kwangu mimi huo mlo aloweka hapo juu (especially kama hilo hapo juu ni dona au mtama) is one of the best and healthiest meals!! Labda kanakosekana tu kamchicha kidooogo na kipande cha tango.Kwamba maisha magumu ameshasahau kula nyama...sasa ni kauzu pekee
Safi sana Kiongozi.Kama ndiyo mawazo yake hayo basi tunatofautiana. Kwangu mimi huo mlo aloweka hapo juu (especially kama hilo hapo juu ni dona au mtama) is one of the best and healthiest meals!! Labda kanakosekana tu kamchicha kidooogo na kipande cha tango.