Nauli za bodaboda kupanga mwendo wa kuendesha Songwe

Jul 14, 2021
5
5
Mji wa Tunduma ni Mji wenye pikipiki Nyingi zinazofanya shughuli za usafirishaji Maarilufu kama Bodaboda.

Madereva pikipiki wamedai kuwa usafiri wa bodaboda ni wa kukodi hivyo hawana bei Maalumu ya kituo kwa kituo Badala yake wanaelewana na mteja kabla ya kumpeleka.

Nauli za bodaboda hukadiliwa kuanzia Tsh 1000 na kuendelea kuyegemea na umbali anakopelekwa Mteja hata Mwendo pia hutegemea Kiwango cha Nauli aliyolipa Mteja kuna Mwendo wa 1000, 2000, 3000 na kuendelea.

Mteja akitoa Tsh 2000 sehemu ya Kupelekwa kwa 1000 anajichagulia Mwendo wa kuendeshwa ama wa polepole au wa haraka na mteja akitoa 1000 anaendeshwa Mwendo wa Haraka kwa matakwa ya Dereva ili kuokoa Muda wa kukusanya pesa zaidi amesema Moja ya Madereva katika kituo cha Kilimanjaro Mjini Tunduma Mkoani Songwe.

Abiria mmoja wa kutoka Kituo cha mpakani kuelekea kilimanjaro amesema pindi akitoa nauli pungufu anaendeshwa Mwendo wa Fujo na anakosa uhuru wa kumwambia dereva.

Mwisho
 
Hatari sana. Bodaboda hawakatai hela. Atakachokifanya ni kukukimbiza!
 
Aisee.

Bodaboda ni laana.
 
Shule ndogo. Akikimbiza anatumia mafuta zaifi kuliko akiendesha taratibu.
 
Back
Top Bottom