Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari zenu wapendwa,
zali limendondokea nimegongewa visa ya mwaka mzima kwenda kwa Obama.
Hapa nilipo niko on transit mitaa ya dubei kwa waarabu wa wese.
Sasa bana hii ndo mara yangu ya kwanza kuja huku, msinicheke ila kwenye ndege nimekunywa maji mengi mno na apple juice.
Pia nimekula msosi wote kila kitu nilichowekewa sijabakisha kitu kwenye trei.
Hapa nakusibiri kukonecti ndege kuelekea kwa Obama nikasema wacha niwashirikishe wadau wenzangu, ila msiniulize hilo zali la kwenda kwa Obama nimelipataje.
Ntakuwa huko kwa mwaka mmoja visa ikiisha narudi bongo (mission have to be accomplished looh).
Nikirudi lazima kilugha kiwe kimebadilika looh you know what am saying zitakuwa kwa wingii hehehehee ila kiyoyozi kikali hapa aiport balaa halafu nimepiga umini sasa daah wacha nikatafute stockings.
Ndo mara yangu ya kwanza hii kwenda kwa Obama, mlioko huko mtakuja kunipokea airport? msijali niko full loaded no string attached.....
See you later guys, always Kasinde!!
MORE UPDATES:
Basi bwana nikajisemea sishuki kwenye ndege hadi niache puu yangu humu, sasa ikawa haiji nikaanza kuwasumbua wale crew kuwa nataka fruit salads na any sea food maana mie tumbo langu na se food huwa halikopeshi lazima nikaripoti toilet.
Thank God nikapa puu bana nikaenda zangu toilet kwanza kachumba kenyewe kadogo daah nikashangaa shangaa pale nikatengeneza mazingira vizuri kisha nikakaa kwenye ile seat. Paratataaaa nikaachia puuh like winnie the pooh looh sasa nikamaliza nikaangalia mahali pa kuflush nikapaona nikabonyeza weeeh nusura nitoke na mlango kwa woga....hahahhaa msinicheke jamani maana kile choo kilikuwa kinaflash na speed ya ajabu na hakikuwa na maji mengi sasa sauti ya flush ndo ilinistua nikaogopa nila nilijigonga mlangoni daaah. Nashukuru nikatoka salama nikijikausha kama mwenyeji vile ila next time nshajua sipuu tena roho yaweza kutoka mie nlijua chini kumetoboka na hewa inaingia ndani kwa nguvu looh!!
Bado sijafika kwa Obama niko on the way natumia wifi internet ya kwenye ndege masaa 16 angani si mchezo daah!!!
Luv u all guys!!