Ndo maisha bora haya !

Balungi

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
234
Reaction score
162
Hapa kuna ulinganifu??
 

Attachments

  • 1415857247774.jpg
    44.2 KB · Views: 270
Haya ndio maisha bora aliyo ahidi, sasa pata picha asingeahidi na kutupa "haya maisha bora" hali ingekuwaje?
 
ubora wa maisha unategemea na thamani ya raia husika , kama mliweza kununuliwa kwa fanta na wali kitumbo , kanga mbovu na kofia ambazo huwezi kwenda nayo hata kwenye kigodoro basi maisha haya kwenu ndio bora .
 
Maisha bora kwa kila mtz ukuanzia na raisi wao kwanza.
 
cc: Pasco wa jf mlamba viatu
 
Last edited by a moderator:
ubora wa maisha unategemea na thamani ya raia husika , kama mliweza kununuliwa kwa fanta na wali kitumbo , kanga mbovu na kofia ambazo huwezi kwenda nayo hata kwenye kigodoro basi maisha haya kwenu ndio bora .
Hilo nalo neno Erythrocyte, watu wanapenda sana kulalamika lakini wakishaitiwa magauni ya dira, kanga mbovu, wali kitumbo na vijikofia visivyokuwa na hata gharama ya Tshs 2,000/- wanajiona wamepata kumbe wamepatikana. Sometimes mimi huwa naumia ujinga wa watu kudanganywa kwa vitu vidogo na kuuza haki yao.
Wale waliolipwa nyumba zao zilizopigwa na mabomu ya Mbagala kuna waliokuwa wanalia wamelipwa cheque ya Tshs 1,950/- anashindwa kutambua ni mwaka au ni hela, ila wacha wajifunze kwa makosa yao.
 
Hili nalo ni janga la kitaifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…