Mtoto wa Clinton huyo weye. Hata akipiga mbizi tu filimbi zinaanza kulia kuwa huendaa kuna nyangumi aliyepatwa kichaa akamzamisha. Yaani ulinzi full time.
Unajua tena last born alichelewa kuleta miwani. Eti alikuwa anacheza tombolela...... Samahani mgweno kama nimevunja mipaka.:smile-big:Soma vizuri heading nimesema MAMBASA SIO MOMBASA
Ninazo, nikupatie....