ndo maana mimi staki wanawake mabaunsa

Haaa hii picha inanikumbusha Ze Usweet aliweka kwenye blogu yake akasema:: Breaking News:Ze Utamu Akamatwa
 
Safi sana hata kama ikitokea ambush ujue una mamaa jasiri, sio wale wa kulialia hata akimuona mende. Miaaaaaaaaa
 
Hapo full taekwondo,tai chi,karate etc....kimbia fasta
 
ukioa kama huyo yani usiku unakua hupati shida ya kushtuka shtuka coz unajua unamwanajeshi pembeni au sioooo...!
 
Haaa hii picha inanikumbusha Ze Usweet aliweka kwenye blogu yake akasema:: Breaking News:Ze Utamu Akamatwa

Hata hhivyo ze utamu alishakamatwa ila kwavile alikuwa mtoto wa kigogo ikaishia juu kwa ju!!!!!!!!!!!!
 
heb he he ndo maana napenda vidogodogo havina nguvu sana
 
Kama acting ya filamu zetu za Kibongo vile. Kamjamaa kalirusha ndoano, naona kameambulia ngeu na aibu! Loooh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…