Roman Israel Esq
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 2,024
- 3,281
KumbeHuu ni wakati wa mbwa kula jibwa.
Haya ndiyo watanzania na binadamu yeyote aliyeko huru tulikua tunayataka na kuyategemea sana kuwa tutayapata awamu hii ya Tano kutokana na Kamapeni za mwaka 215 na shamrashamra zilizokuwepo ikiwemo pushapu ,sio umaarufu wa mtu au Chama au kikundi cha watu.
Acha tu wadakane uchawi...Mbona hatuaminiani, kuna muda nimeweka rope hapa wakaikata mods, sitakata niirudie maana ilikuwa inahusu kikao cha dharula sehem fulani,
Wana CCM ndo mnaunda serikali kwa kupewa dhamana na Taifa na wananchi wake,
Kuna waziri mmoja anavujisha siri za baraza ilo na kina Ngurumo wamemfaidi sana kule walipo, jamani tuaminiane, tumkosoe hapo hapo kama anakosea, tumdhibiti kama anataka kuvuka mpaka lakin so vema kuvujisha siri hizo, hivo kichwa cha waziri mwingine ambaye alileta mvuto naye anaondoka soon Tuwe wakweli
Baraza linamkosa Nchemba ,Nape sasa na huyu kijana dahh
Britannica
Ukiona hivyo fahamu huko ndani kunatogota. Hawa wanaokuja humu kutetea nao wamechoka. Kwa mfano leo nzima sijamwona Magonjwa wala Jinga. Wameelemewa wasijue waje kutetea jambo zuri linalofanyika nyumbani mwao.Mkuu...yaani naona kama huyu kada anazuga hivi?
watakulana wenyewe hadi itakapofika 2020 wamekamilikaMwache aende..... Gudu bai maropu
Halafu naona Jingalao kama nae kapunguza Kasi sana siku za karibuni. Nahisi atakuwa anatubu na yeye.Khaaaa akili imekukaa Sawa eeeee?? Mwambie na jingalao
Mbona hatuaminiani, kuna muda nimeweka rope hapa wakaikata mods, sitakata niirudie maana ilikuwa inahusu kikao cha dharula sehem fulani,
Wana CCM ndo mnaunda serikali kwa kupewa dhamana na Taifa na wananchi wake,
Kuna waziri mmoja anavujisha siri za baraza ilo na kina Ngurumo wamemfaidi sana kule walipo, jamani tuaminiane, tumkosoe hapo hapo kama anakosea, tumdhibiti kama anataka kuvuka mpaka lakin so vema kuvujisha siri hizo, hivo kichwa cha waziri mwingine ambaye alileta mvuto naye anaondoka soon Tuwe wakweli
Baraza linamkosa Nchemba ,Nape sasa na huyu kijana dahh
Britannica
Haya maoni yako ungemwandikia m/kiti wa ChamaMbona hatuaminiani, kuna muda nimeweka rope hapa wakaikata mods, sitakata niirudie maana ilikuwa inahusu kikao cha dharula sehem fulani,
Wana CCM ndo mnaunda serikali kwa kupewa dhamana na Taifa na wananchi wake,
Kuna waziri mmoja anavujisha siri za baraza ilo na kina Ngurumo wamemfaidi sana kule walipo, jamani tuaminiane, tumkosoe hapo hapo kama anakosea, tumdhibiti kama anataka kuvuka mpaka lakin so vema kuvujisha siri hizo, hivo kichwa cha waziri mwingine ambaye alileta mvuto naye anaondoka soon Tuwe wakweli
Baraza linamkosa Nchemba ,Nape sasa na huyu kijana dahh
Britannica
Kwa mambo niliyoyashuhudia huku CCM ilishindwa kihalali kihalali tatizo keleie zilipigwa sana ZANZIBAR kulikohuku kwa mambulula.
Kaka naiomba inbobo hiyo clipMbona hatuaminiani, kuna muda nimeweka rope hapa wakaikata mods, sitakata niirudie maana ilikuwa inahusu kikao cha dharula sehem fulani,
Wana CCM ndo mnaunda serikali kwa kupewa dhamana na Taifa na wananchi wake,
Kuna waziri mmoja anavujisha siri za baraza ilo na kina Ngurumo wamemfaidi sana kule walipo, jamani tuaminiane, tumkosoe hapo hapo kama anakosea, tumdhibiti kama anataka kuvuka mpaka lakin so vema kuvujisha siri hizo, hivo kichwa cha waziri mwingine ambaye alileta mvuto naye anaondoka soon Tuwe wakweli
Baraza linamkosa Nchemba ,Nape sasa na huyu kijana dahh
Britannica
Mbona hiyo clip siioni. Mwenye nayo aniwekee inbobo kama hatojaliS
Sauti Kubwa sio ya mchezo mchezo wewe.
Bado haijàtoka ni kwà watu wa jikoni tuMbona hiyo clip siioni. Mwenye nayo aniwekee inbobo kama hatojali
Kashaguswa hahahahahahah. Wafuasi halali wa ccm ni wale wasio na mrija wwt serikalini.ni wewe au ume hackiwa????
wewe kweli????