LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,404
lakini kama kabilisha siri ashitakiwe. maana kiapo chake kuwakataza kuvumisha siri za baraza
Hakikalakini kama kabilisha siri ashitakiwe. maana kiapo chake kuwakataza kuvumisha siri za baraza
Aisee " mwezi wa 1 nayeye yanakwenda kumfika !!?Kwahiyo mwezi wa kwanza akiliwa ndo furaha yako?,bado yupo sana
UmeonaBwana Marope
Hivyo ccm iliyotengeneza hayo madeni , nyalandu hayupo umo? Lowassa? Sumaye, na ester braya je ? Si walikuwepo , sasa walipohamia chadema ndio wako kijito cha utakaso ? Huyo Lowassa hata baba wa taifa alisema hafai kuwa kiongozi , watu wakinyimwa uongozi tu , au maslahi.yao yakifinywa ndio, wanakimbilia chadema , kwani halijulikani hilo ? halafu porojo nyiingi , oh deni la taifa , oh nini na nani , hizo ni porojo za chadema , mtu mwenye nia safi kabisa ya kuijenga nchi yake , na si maslahi binafsi , basi uwepo wake uwe CCM .Watanzania hawajijui kiundani CCM ila siku wataijua CCM vizuri wanaweza kubeba silaha jadi tuna deni la taifa ambalo kwa kweli halikwepeki mpaka shahawa zetu zinadaiwa lakini wao familia zao zinaoshi paradiso.
MaropeMwache aende..... Gudu bai maropu
January MaropeKwahiyo mwezi wa kwanza akiliwa ndo furaha yako?,bado yupo sana