Msitudanganye lowasaa alishindwa kihalaliLaana ya uchaguzi mkuu 2015 lazima itafune kila aliyeshiriki wizi , JK kaa tayari kwa lolote , Mungu hadhihakiwi .
Ona sasa na wewe unavujisha siri kuhusu huyo waziri kijana atakayenyfolewa kwenye kiota.Mbona hatuaminiani, kuna muda nimeweka rope hapa wakaikata mods, sitakata niirudie maana ilikuwa inahusu kikao cha dharula sehem fulani,
Wana CCM ndo mnaunda serikali kwa kupewa dhamana na Taifa na wananchi wake,
Kuna waziri mmoja anavujisha siri za baraza ilo na kina Ngurumo wamemfaidi sana kule walipo, jamani tuaminiane, tumkosoe hapo hapo kama anakosea, tumdhibiti kama anataka kuvuka mpaka lakin so vema kuvujisha siri hizo, hivo kichwa cha waziri mwingine ambaye alileta mvuto naye anaondoka soon Tuwe wakweli
Baraza linamkosa Nchemba ,Nape sasa na huyu kijana dahh
Britannica
Kama kihalali mbona waliokusanya matokeo ya kura waliachiwa bila masharti, ushahidi ulikuwa kura ziwasilishwe mahakamani, na wa upande wa CCM hawakukamatwa.Msitudanganye lowasaa alishindwa kihalali
Sidhani! Inside source zinatanabaisha kama of recent wamewahi angukia pua malambili wewe unafikiri malambili utakuwa lini na lini?Msitudanganye lowasaa alishindwa kihalali
KumbeLaana ya uchaguzi mkuu 2015 lazima itafune kila aliyeshiriki wizi , JK kaa tayari kwa lolote , Mungu hadhihakiwi .
KwaniniSidhani! Inside source zinatanabaisha kama of recent wamewahi angukia pua malambili wewe unafikiri malambili utakuwa lini na lini?
WoteAcha wafu wazikane
Kwa mambo niliyoyashuhudia huku CCM ilishindwa kihalali kihalali tatizo keleie zilipigwa sana ZANZIBAR kulikohuku kwa mambulula.Msitudanganye lowasaa alishinda kihalali
Kivipi mkuuHuu uzi uko ki pashkuna sana
Kivipi mkuu
wametoa mpya gan mzeeSauti kubwa leo ndo nimeamini kus wana reliable sources within system
ni wewe au ume hackiwa????Safari hii tunawashinda tena halafu wajifanye king'ang'anizi tunawatiia aibu mbele ya waangalizi wa kimataifa,waanaachia madaraka,tuone jeuri ya huyo mkuu wa mkoa wa Dar yeye ndio inakuwa zamu yake kwenda kuishi guest house segerea.