Ndo CCM ilipofikia

Ndo CCM ilipofikia

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,181
Reaction score
41,643
Mbona hatuaminiani, kuna muda nimeweka rope hapa wakaikata mods, sitakata niirudie maana ilikuwa inahusu kikao cha dharula sehem fulani,

Wana CCM ndo mnaunda serikali kwa kupewa dhamana na Taifa na wananchi wake,

Kuna waziri mmoja anavujisha siri za baraza ilo na kina Ngurumo wamemfaidi sana kule walipo, jamani tuaminiane, tumkosoe hapo hapo kama anakosea, tumdhibiti kama anataka kuvuka mpaka lakin so vema kuvujisha siri hizo, hivo kichwa cha waziri mwingine ambaye alileta mvuto naye anaondoka soon Tuwe wakweli
Baraza linamkosa Nchemba ,Nape sasa na huyu kijana dahh

Britannica
 
Bwana Marope
 
Mwache aende..... Gudu bai maropu
 
Laana ya uchaguzi mkuu 2015 lazima itafune kila aliyeshiriki wizi , JK kaa tayari kwa lolote , Mungu hadhihakiwi .
 
Mbona hatuaminiani, kuna muda nimeweka rope hapa wakaikata mods, sitakata niirudie maana ilikuwa inahusu kikao cha dharula sehem fulani,

Wana CCM ndo mnaunda serikali kwa kupewa dhamana na Taifa na wananchi wake,

Kuna waziri mmoja anavujisha siri za baraza ilo na kina Ngurumo wamemfaidi sana kule walipo, jamani tuaminiane, tumkosoe hapo hapo kama anakosea, tumdhibiti kama anataka kuvuka mpaka lakin so vema kuvujisha siri hizo, hivo kichwa cha waziri mwingine ambaye alileta mvuto naye anaondoka soon Tuwe wakweli
Baraza linamkosa Nchemba ,Nape sasa na huyu kijana dahh

Britannica
Hata afanye vipi hataweza kutuliza Tanzania nzima. Atamwondoa huyo waziri lkn atapatikana mwingine. Ni maumivu wanayoyaona na mipango miovu dhidi ya Watanzania unajikuta unavujisha.
 
watanzania wote hawawezi kuangalia pembeni pale bwana mkubwa anapofanya mambo ya kishenzi, hata akimwondoa mwezi wa kwanza bado siri zitavuja tu!! sizonje ajifunze kua nchi hii hajapewa urithi na baba yake!
 
Back
Top Bottom