😂😂Wala hataDuh utakuwa na wowo
Mapema sana ,uwa sipotezi muda kwenye vitu vyenye maslahiFake P vip mgao ushakufikia au bado
View attachment 3291071
MENEMENE TEKERI NA PERESI vip ushapata? min -me ungekuwa karb mzigo uho ungechua kabisa
Leo naona utalewa mpka basiMapema sana ,uwa sipotezi muda kwenye vitu vyenye maslahi
Nimelewa mapema kabisa kaka ,hivi nipo wodi ya watoto nimejilaza kwenye vitanda vyao ,sijui afande mfawidhi akinikuta kama ataniacha salamaLeo naona utalewa mpka basi
We wakupewa gadi siku nneNimelewa mapema kabisa kaka ,hivi nipo wodi ya watoto nimejilaza kwenye vitanda vyao ,sijui afande mfawidhi akinikuta kama ataniacha salama
Wataniuwa bure.We wakupewa gadi siku nne
Sikuiz mbon huonekaniWataniuwa bure.
Hapo kwenye ngazi tuu🤣😍😍Fake P vip mgao ushakufikia au bado
View attachment 3291071
MENEMENE TEKERI NA PERESI vip ushapata? min -me ungekuwa karb mzigo uho ungechua kabisa
Nilikuwa cello kaka ,ndiyo maana sikuwa naonekana .Sikuiz mbon huonekani
Rudi nyumban kumenogaHapo kwenye ngazi tuu🤣😍😍
AhHaha kilichokukta tusimulie tujue mapema kabisaNilikuwa cello kaka ,ndiyo maana sikuwa naonekana .
Nilitembeza kiboko kwa mtoto wa mtu akaamua akashitaki ,lakini mbona nilituma meseji kaka kuwa mwenzio nimetaitiwa na MaMp
Wajenhe kwanza na Quarter za kutosha. Kama walivyoongeza mahanga.Rudi nyumban kumenoga
Hahaha ilo sahau sio leo 🤣🤣 labda ukikaribia kustaafuWajenhe kwanza na Quarter za kutosha. Kama walivyoongeza mahanga.
Jichanganye umpende binti umfosi kumuoa kwa lazima alafu apate bahati akakushitaki huko kwetu utajua naongea nini kaka .AhHaha kilichokukta tusimulie tujue mapema kabisa
Hata hayo mahanga Mapya siyajui🤣🤣 Nipigie picha basi niyaone Yale ya usawa wa Uwanja mpyaHahaha ilo sahau sio leo 🤣🤣 labda ukikaribia kustaafu
adjutant ajaanza kulima kweli makato ya mwezi kwa mweziJichanganye umpende binti umfosi kumuoa kwa lazima alafu apate bahati akakushitaki huko kwetu utajua naongea nini kaka .
Washikaji nalewa nao ,wananisifia mimi mcheshi mara ni mwamba ila nilipokabidhiwa kwao walizuga hawanijui ,nimekula kiboko na dojo la kutosha kaka ila sema nini yule dada ametaka tutaoana hajataka nitamuoa maana ametumia hela zangu nyingi
Hayo hapoHata hayo mahanga Mapya siyajui🤣🤣 Nipigie picha basi niyaone Yale ya usawa wa Uwanja mpya