Ndiyo kusema Ajira za serikali hamna tena?

Ndiyo kusema Ajira za serikali hamna tena?

Na toka nimeanza kufanya kazi sijawahi ajiliwa na huyo unayemtukuza.
 
Zaidi zaidi nalipa kodi kila mwezi, ila cjui na wewe kama unalipa kodi au unakaa kwa baba na mama yako.
 
Nasisitiza sana maswala ya Ajira kumbe mwongo nikaanza kugawa Vyeo kwa hila!
Bora uongozi ni siuongozi bora-Hii ndio Tanzania Ujanja Ujanja,
 
Braza mkubwa kabisa anazingua xna yan, ikawa story ya watumishi hewa hadi leo, wengne tulikuwa tushapangiwa vituo vya kazi then tukawa sttoped na ikawa kimya hadi leo, nataman kuhama nchi yan.
 
Back
Top Bottom