Ndiyo kateuliwa lakini hapendwi na wengi

Mimi namkubali Mwigulu hata naamini atakuja kuwa Rais wa hii nchi.
Humjui huyu mtu hata kidogo! Rejea maiti za kuokotwa beach zikiwa zimefungwa kwenye viroba! Rejea mauaji ya olasiti Arusha. Rejea issue ya tindikali Igunga! Nenda issue ya magaidi feki na mauaji ya polisi mbagala!
Ukiambiwa Anamika damu za watu elewa! Kayafanya yote hayo akiwa waziri tu, akipewa urais unadahani ni kitu gani kiatokea?
Ujumbe wa madame President wa wanaoutamani urais unadhani alikuwa anaambiwa Nani Kama siyo yeye?
 
Huyu hapa
IMG_20200506_141755.jpg
 
Hata mumchukie vp huyo jamaa,kakanyaga wizara nyingi nyeti kweli aliyepewa kapewa tu, tukubali.....
kahudumu wizara ya mifugo na kilimo, mambo ya ndani,sheria sasa wizara ya fedha.....
nyie mnaopiga kelele humu hamjawahi hata kuwa watendaji wa kijiji kumbaf zenu!!!
Huoni kwamba kupewa wizara nyingi ndani ya kipindi cha awamu moja ni udhaifu?
 
Back
Top Bottom