Huyu mshkaji vipi?
Eti anampigia demu wangu simu,fuatilia mazungumzo kwa ufupi:-
Jamaa:shem samahani na maongezi nawe?
baby: poa mda gani shem?
jamaa:nambie mda gani utakuwa free wewe?
baby: mie leo nipo napumzika ko sina kazi yoyote
jamaaoa tukutane saa tisa
babyoa, wapi?
jamaa: ****** GUEST HOUSE
baby:.......
hakwenda na alikata nae mawasiliano,...
Jamani ndo urafiki huu,huyu jamaa nikionana nae nifanyeje ati?
wewe si umemsimulia huyo frendi mavitus unayopewa sasa unamlaumu nani?.....muwage na siri mazee
Zamani sana nilimwambia mshikaji wangu demu wangu ana kitumbua kikubwa sana likawa kosa...sasa hivi ni mkewe na hataki hata nimwite shemeji
huyu mshkaji vipi?
Eti anampigia demu wangu simu,fuatilia mazungumzo kwa ufupi:-
jamaa:shem samahani na maongezi nawe?
Baby: Poa mda gani shem?
Jamaa:nambie mda gani utakuwa free wewe?
Baby: Mie leo nipo napumzika ko sina kazi yoyote
jamaaoa tukutane saa tisa
babyoa, wapi?
Jamaa: ****** guest house
baby:.......
Hakwenda na alikata nae mawasiliano,...
Jamani ndo urafiki huu,huyu jamaa nikionana nae nifanyeje ati?
Huyu mshkaji vipi?
Eti anampigia demu wangu simu,fuatilia mazungumzo kwa ufupi:-
Jamaa:shem samahani na maongezi nawe?
baby: poa mda gani shem?
jamaa:nambie mda gani utakuwa free wewe?
baby: mie leo nipo napumzika ko sina kazi yoyote
jamaaoa tukutane saa tisa
babyoa, wapi?
jamaa: ****** GUEST HOUSE
baby:.......
hakwenda na alikata nae mawasiliano,...
Jamani ndo urafiki huu,huyu jamaa nikionana nae nifanyeje ati?
mchelea mwana kulia hulia mwenyewe, sasa na wewe c ujirudishie mpira mwenyewe
Zamani sana nilimwambia mshikaji wangu demu wangu ana kitumbua kikubwa sana likawa kosa...sasa hivi ni mkewe na hataki hata nimwite shemeji
Hehehehehehe
Duh, hii kali kweli
Mkishamega jamani usiwatangazie rafikizo ooh anakatika kweli, oooh anakula koni ile mbaya, oooh
Jamani mengine tunajitafutia wenyewe
Hivi kuna mtu anaweza kwenda kutongozea gesti kabisa eh......huyu ISC hatumhitaji...
Ilo nalo neno,anajilinda kisije kianuka na kwakoNgoja kwanza hii story haijaisha, wewe ulikuwepo wakati wanaongea na cm, isije jamaa kamega halafu kautosa mzigo ndio bibie anakusimulia,
Hilo jogoo kwenye avatar yako lenyewe linaomba mavituz kwa kukuz.......