Ndio uhalisia huo!

Ndio mtu amewekeza pesa zake, amebudi hiyo biashara ww uje tuu sijui na vikaratasi vyako eti msosi . ... Utakula nyasi
 
Ndio mtu amewekeza pesa zake, amebudi hiyo biashara ww uje tuu sijui na vikaratasi vyako eti msosi . ... Utakula nyasi
Sasa anawaajiri hao ili iweje .... ajiajiri mwenyewe basi ..... ukishaajir huna budi kuwajibika
 
mshahara ni maelewano... sawa na mikataba serikali inaingia na wawekezaji... unasikia mrahaba wa 0.2% kwa watz baada ya mwekezaji kuondoa gharama za uendeshaji, mali yoote wanaipeleka huukoo... tunabaki na mashimo!! ndivyo tulivyokubali sisi wenyewe, na mshahara pia unaukubali mwenyewe! Kuna mambo mengi kwa hili ila tuboreshe 'negotiation skills' katika kuingia mikataba!...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…