Aisee..kuminywa mapaja unafananisha na kuchoma sindano mgonjwa?ni tofauti sana!!mgonjwa mgonjwa tu!!
Kumbe katikati ya mapaja kuna magaga khaa hii mpya!
Hao wanawake wana nini hadi waminywe minywe mapaja? Me nafikiri wanatengeneza kucha sasa mapaja umeyaonaje na wewe? Umeongea kwa hisia adi mekuurumia hahaaa
Weee nae huo ni uzushi.....katikati ya mapaja umeionea wapi???
Hiyo ya mapaja ni mpya
Chonde chonde madaktari huwa hawawabonyi bonyi maungo wanawake...
Hao wanawake wana nini hadi waminywe minywe mapaja? Me nafikiri wanatengeneza kucha sasa mapaja umeyaonaje na wewe? Umeongea kwa hisia adi mekuurumia hahaaa
We binti hebu pita pale Mwenge (Stand ya zamani), kwa kale kamtaa kanakotokea Polisi Station