ndio ndoa hizi

na sisi wanawake tunajisahau sana aisee!!! namkumbuka sana mwl wa Biology when it comes to this......alisema msichana wa kazi marufuku chumbani kwako na mumewe, wala asifue shuka na taulo mlizotumia na mumewe wala asimpakulie mumewe chakula.
 
this is wat I saw....maana huyo bwana alivyotayari kuulizwa kumenipa picha kuwa ana sababu, amabyo ni kosa la mke ndio maana likwambia kwa jeuri anasubiri wamuulize!! lol visingizio
Hana lolote ukware tuu!Wanaume wanavyojua kujisahau,kama na sie tungekuwa tunarukia kila wasaa wa kusaidiwa pangetosha kweli!Kuna mtu kila siku anakupa attention ambayo mume hakupi,ukisema mume wangu anajisahau hata siku moja haniambii nimependeza etc itakuwaje.there is no excuse,period .
 



huyu dada kilichomziraisha ni kwamba hajaamini kitendo, hata kama angepata huo muda bado mdada angezimika, labda angezinduka kabla ya kupelekwa hosp ingesaidia....
 

...Aspirin umesema kweli tupu. Kuna wanawake wanakufanyia visa weeeeeeeee... kwakuwa weshakuona wewe Mume *****, huna vijisafari, huna marafiki, wewe ni mtu wa nyumbani-kazini-nyumbani..basi ushakuwa ***** lake. Eti amekukalia kichwani, husemi hufurukuti!

Nyamayao, na mashaka huyo wifi yako ana "vi-tabia/jimambo" vyake sawa na hao kaka zake, nio maana alikuwa anawatetea saana.
"Mkuki kwa nguruwe bana, kwa binaadamu weee!..." machungu yake mpaka ICU, no wonder kataka yaishie kimya kimya...
 
na kweli sahizi atawaheshimu maana cha moto kakiona!

Mke mwenzangu huwa ananiambia siku akimkuta wifie na house b,anawapiga kinywaji.afu anaondoka anampigia wifie simu kumwambia atafute sehemu za vichochoroni. nilimuuliza kwa nini? Akanijibu kwani mie najua kaka yangu anamtenda nini? Huyo atakuwa aisifiae mvua.....
 

bora wa kwetu cku hizi naona wanataka kustaafu haya mambo kuliko wa kwake ndio anaanza, mama anahuzunika sana mana ndio kabinti kake kadawa.
 

King'ast hivi kama kuna kitu kinanikwaza kwa mwenzi wangu siwezi kuongea tu mpaka nifanye madudu ndo niulizwe afu niseme..'this is nt happening?'

kwa nini msizungumze unataka mwenzio akutendee namna gani ili ufurahi rather that doing this shit
 
Tatizo ni kwamba wanawake huwa hawasemi ukweli kwenye mambo ya infidelity!! Unaweza kukuta anayebisha na kulaani sana infidelity anagawa shimo kama zawadi!!!
ha ha ha ha ha ha ha ha!
nimecheka sana..........

sababu nyingine hiyo ya kwenda kerege kati kati ya wiki
 

wewe tunacheza wimbo 1, hata ungependeza atakuambia kinyume, "hiyo nguo imekubana sana"...hiyo nguo tukitoka wote tu ndio uivae...khaa
 

...hahaha, wanawake bana!
 
]na sisi wanawake tunajisahau sana aisee!!! [/COLOR]namkumbuka sana mwl wa Biology when it comes to this......alisema msichana wa kazi marufuku chumbani kwako na mumewe, wala asifue shuka na taulo mlizotumia na mumewe wala asimpakulie mumewe chakula.


toa hilo kichwani kwako, sio wote wanajisahau, unaweza kulala jicho moja wazi ili ucjisahau lakini atakapokufanyia ya kufanya utatungiwa stori ili mradi uonekane umejisahau......
 
King'ast hivi kama kuna kitu kinanikwaza kwa mwenzi wangu siwezi kuongea tu mpaka nifanye madudu ndo niulizwe afu niseme..'this is nt happening?'

kwa nini msizungumze unataka mwenzio akutendee namna gani ili ufurahi rather that doing this shit

..nice one bht, nice one!
 
..nice one bht, nice one!

sasa Mbu kweli hapa eti jamaa anasema kw aajeuri waniulize waone.....alishindwa nn kumwambia mkewe hataki kutengewa chakula na H/G, wala kutandikiwa wala kunyooshewa??? wats so difficulty hapo?? ona sasa aibu hii wayiiiiiiii....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…