ndio ndoa hizi

Bado kuna vingine hajampatia!

sasa c ampatie ahalalishwe, anakoroma koroma nini na mwanamke mwenzie? ohh kaolewa digrii na sio mke ohaa hivi na vile, wanawake hatupendani kabisa, unaokotewa maneno na mwanaumwe wa mwenzio huko nawe unamuona mwanamke mwenzio kama kiatu, na huyo mwanamke wa huyu baba cjui ni mlokole, cjui ni karizimatiki yaani cmuelewi, ingekuwa mie na nyodo za huyu sophy ningeshamgundua kitambo, ""ungenikoma/ningekukomesha""...inakera sana wanawake tunavyodharauliana kiac cha kufikia kusema hakuona mke bali"" digrii za ulaya""....wewe umemshika na masters za wapi?
 
da sophy kaja na mimba anafikiri hapo ndio kamaliza! ningekua mi ye namwambia amwache mkewe anioe ndio mimba


na hiyo mimba kama kaibeba kichwa kichwa amikula kwake....watoto wa kijanja/mjini hawaringagi na wanaume za watu, wanajiweka sawa, wapate vibanda vya kujicrtiri, kibiashara/shughuli ya kumwingizia shs 100 kwa cku mbali na kakazi kake nk..then anammwaga na kusonga mbele, sasa huyu anang'ang'ania kama kupe, sio mtoto wa kishua kabisa, kwanza anajidharaulisha tu, mtoto wa tandale atafurahia range rover imekuja kumchukua uswahilini kuwakosha mashoga....ndio mana mie nasemaga nikilikuta langu na hawara naharibu mazima mana najua ananiharibia bugdet ya familia na najua langu linatakuwa na watoto wa kijanja kama alivyo na mke mjanja sio vishoia kama huyu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom