Ha ha ha mbona na nyie mnapost zile zenu bana...mi nshapata appetitte ngoja niwahi jikoni kwanza!!!
We ulitaka kuntoa roho na Yale maandazi sisahau mean mwanamke unapika wewe
Ha ha ha mbona na nyie mnapost zile zenu bana...mi nshapata appetitte ngoja niwahi jikoni kwanza!!!
Ha ha ha maandazi huyasahau mpenzi?njoo unitembelee nitakupikia unywee na chai ya madhiwa!!We ulitaka kuntoa roho na Yale maandazi sisahau mean mwanamke unapika wewe
Sawa dia na wewe pia unakaribishwa!namie shosti tito
Hizi picha za namna hii zipigwe marufuku sasa nyie mnapost tu bila kujua wengine tuna hali gani
Hii picha imenivurugia ratiba zangu ngoja niwahi magomeni butiama