Ha ha ha mbona na nyie mnapost zile zenu bana...mi nshapata appetitte ngoja niwahi jikoni kwanza!!!Hizi picha za namna hii zipigwe marufuku sasa nyie mnapost tu bila kujua wengine tuna hali gani
Hii picha imenivurugia ratiba zangu ngoja niwahi magomeni butiama
Yote peke yako hio utavimbiwa!!!Na mimi jamani pleasee!!
Kibogoyo mm ukoko ntautafunaje?nakuwekea kidogo cha ukoko
Acha tuumeipata harufu?
Ahsante naja na ndizi yangu!!njoo huku my bado upo wa kutosha...huyo Amavumbi atakutoa meno yako
Ahsante naja na ndizi yangu!!