Ndio mzee na kikao cha dharura prof J

Ndio mzee na kikao cha dharura prof J

Kremme

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
471
Reaction score
496
Leo nimeamka nikitafakari mashairi ya nyimbo hizi na yanayotokea barani kwa sasa. Jamani mwenye nyimbo hizi azisikilize na mwenye akili ataelewa.
 
Nang'atuka.........best song for the African political setting
 
Prof...ana heshima yake..ni nguli wa mashairi...kwa mbali kdogo anafuatia ngosha
 
Back
Top Bottom