Ndio maana walikuwa wanataka ipad

Ndio maana walikuwa wanataka ipad

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
Bk4NjLuIMAENOfz.jpg:large
 
Kazi njema viongozi hizo ndo kazi tulizowatuma
 
Halafu eti nchi ikwamuke!!!!!! Thubutuuuuuu
Jiulize ofisini wanafanya nini kama hapo bungeni wanafotoana!!!!
 
Halafu eti nchi ikwamuke!!!!!! Thubutuuuuuu
Jiulize ofisini wanafanya nini kama hapo bungeni wanafotoana!!!!

wanarushiana picha za akina wema,masogange wakionyesha makalio.
 
Haki ya nani! Mbona sikutokeza kwenye hii listi na mie nipate raha duniani.
 
Mwanangu nifotoe kitu cha kutupiamn mu instgram..
 
Haa haa nchi ya kitu kidogo,nchi ya watu wadogo. Yaani hapo bungeni kwa hii picha sijui huyo anayepiga ni kama Magufuli japo sina hakika sana basi atakataa kabisa


Nakumbuka WasirA nae alijitetea sana alipolala Bungeni.

Huyo ni mahanga anamfotoa Lazaro wa maliasili..
 
Back
Top Bottom