Ndio maana una likisukari!!!!!!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,979
Reaction score
37,880
Ni wapenzi wachache wanao weza kuachana kwa amani. Wengi huachana kwa shari na mara nyingi huachana kwa kubadilishana maneno machafu. Ifuatayo ni TOP 7 ya maneno machafu kutoka wapenzi walio achana niliyo wahi kuishuhudia ama kusikia.


1. NDIO MAANA UNA LIKISUKARI..

Jamaa alikuwa anatoka na demu mwenye kisukari, siku walipo achana akamwambia "DEMU MWENYEWE NDIO MAANA UNA LIKISUKARI!" Demu alilia sana.


2. HAUNA UWEZO WA KUZALISHA WEWE,HATA HAWA WATOTO SIO WAKWAKO.

3. We mwanamke gani? kwanza mfupi, mweusi tii, halafu mwembamba, hauna makalio na una miguu kama mikono na kitambi, nilikuwa na wewe kwa sababu ya vihela vyako tu, wanawake huwaoni?.

4. Kwa jinsi kibamia chako kilivyo, ulitakiwa ubakie kuwa na miaka minane hadi unakufa.

5... Mwanamke gani wewe una papuchi kubwa kiasi naweza kuingiza mikono ndani halafu nikapiga makofi!!!

6....Una sura utafikiri ulikufa wiki iliyo pita!!! " Mwanaume anamwambia mwanamke.

7. Afadhali hata nimeachana na wewe, kama ningezaa na wewe watoto wangu wangepata tabu sana hapa duniani, kwa sababu mwanamke mwenyewe UNA LIKICHWA LIKUBWA hadi unashindwa kusikitika kwa ishara, mwanaume atakaye kuoa wewe labda awe ametoroka gerezani.

Unaweza kuongeza na za kwako
 
Wapenzi/wanandoa wasiachane ila inapotokea wakaachana ni bora wakaachana kwa hali ambayo wakikutana watasalimiana na ikibidi wakumbushane ya kale!!

Kuachana kwa matusi, viapo, vipigo na kejeli kama hapo juu siyo mzuka!
 
Hii mbona kama mipasho ya kina Mzee Yusuph...
 
Jf inanishangaza sana....mimi huwa nawambia tu...utanikumbuka na kweli hunikumbuka haswa....
 
Kila akili ina maneno yake kadiri maneno yanavyokuwa mabaya kusikika ndivyo inavyoodhihirisha yanatoka kwenye akili mbovu. Lakini ukimya ni kipimo cha mwisho kuwa mhusika ana akili nyingi sana.
 

ivo wewe ulijifunzia wapi haya ????????
 
Kila akili ina maneno yake kadiri maneno yanavyokuwa mabaya kusikika ndivyo inavyoodhihirisha yanatoka kwenye akili mbovu. Lakini ukimya ni kipimo cha mwisho kuwa mhusika ana akili nyingi sana.

Nimeipenda sana hii
 
Nafikiri ukimya ni Bora zaidi kulikoni kutoleana maneno machafu hata mkikutana tena mnashindwa kukimbushia bana
Na kuonyesha heshima pia achana nae bila kutoleana maneno machafu mkikutana msalimiane na kujuliana hali
 
Mkuu uliyoyasema hayo yote yapo,tena hata humu wengine wamewahi kuongea!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…