Ndio maana nawapenda mbwa. Nimekubambaa ama sijakubambaa??

M.E.M.A

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
1,373
472
uploadfromtaptalk1377113807269.jpg
 
du jamaa kajificha kwenye pazia mbwa ndio anamuaibisha sasa loo mke wa mtu sumu
 
Zimefia za 40 hizo !! uraiani hakuna mwamana....Yaani pilot alikuwa angani na mmsap alikuwa kitandani? too nasty !
 
Naona mwanamke hana hamu,kweli za mwizi ni siku yoyote.Inaonekana ratiba ya kazi ilibadilika ghafla mme akaamua kurudi nyumbani.Nitarudi baadae kuangalia waliyamalizaje!
 
Si ajabu huyo raia nyuma ya pazia ni mwanamke na alikua akikoboana na kusagana na muke ya pailoti...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom