Ndio kashasema sasa

Ndio kashasema sasa

Mjasiria Akili

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
823
Reaction score
372
Amueni vikaoni lkn huku wameshaamua yao

attachment.php


Chezea mgao wa bodaboda?
 

Attachments

  • 1392815189455.jpg
    1392815189455.jpg
    66.5 KB · Views: 1,002
Hiyo ni habari mchanganyiko, angesema Lowasa ni rais mwaka 2015 akaishia hapo hapo wala nisingepata shida lakini anaposema Lowasa ni rais mwaka 2015 then akamalizia na no comment maana yake inasumbua mukichwa changu.Is either Lowasa hafai kuwa rais mwaka 2015 ama Lowasa anafaa kuwa rais mwaka 2015 na hataki ubishi.So in short sijamjua mwandishi alikuwa anamaanisha nini
 
Labda akatafute nchi ya kugombea lakini siyo Tanganyika.
 
Ndio ni Rais 2015.....ila atakua Rais wa Manzeseeeee
 
Amueni vikaoni lkn huku wameshaamua yao

attachment.php


Chezea mgao wa bodaboda?
Nani ameileta picha ya usafiri wangu humu jf?!. Huku ni kuiingilia privacy ya mtu!, ni kinyume cha sheria na ni kosa kisheria!. Naweza kuishitaki jf, nikalipwa mapesa mengi hivyo kuachana na usafiri wa boda boda na kununua bajaji au hata bajaja!.
Pasco
 
Wewe ndio ukatafute nchi ya kuishi sasa, watanzania wameshaamua yao!

Hata asilimia tano tu ya Watanzania wangekuwa mazuzu kama wewe ningetafuta nchi ya kwenda.
 
Back
Top Bottom