Bora hata ucheke.ungecheka saangapi?hahha.ongeza maisha.
Nimefikiria tuu uchafu wote unaoachwa kune pool,wengine wanakojoa,wengine makamasi,wengine ndo ivo tena hawajajisafi kabla ya kuingia humo.bas tuu yani afu unakubali sharti coz madaraka matamuu..