Wewe ni mungu sema asanteeeh! yeeem aladeeh! Mtu kujifanya mungu hajaribiwi!? Faru J RIPHivi ule wimbo wa yemi alade Johnny alikuwa anamaanisha faru john....
Wewe ni mungu sema asanteeeh! yeeem aladeeh! Mtu kujifanya mungu hajaribiwi!? Faru J RIP
Johnny Walker
Si nilisikiaga kuna hadi Faru Hadija?Kwanini majina yao ni ya kiume tu?
Naomba yawepo majina ya kike pia.
Kwa mfano
Faru neema
Faru Janet
Faru angel
Faru rose
Cc ndege JOHNIngeitwa Ndege John