Ndinga mpyaa Haina jina,ungepewa nafasi kama hii ya kuchagua jina,ungeiita jina gani hili ndinga.

Kwanini majina yao ni ya kiume tu?

Naomba yawepo majina ya kike pia.

Kwa mfano
Faru neema
Faru Janet
Faru angel
Faru rose
 
cd34794dffdf6e584505541f4a7e9b48.jpg
Johnny Walker
 
Mnaoandika faru yohana msisahau kuwa ilishapigwa marufuku na ina attract faini ya milioni saba!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom