BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
- Thread starter
- #21
unadhani likiwa kubwa kama trekta ndo linakuwa la thamani???


wanataka asikie amenunua migari mikubwaa kwani yeye jumba? Gari unakuta ni kadogo ka saizi ila ulizia bei sasa ...unakuta ni mshahar wa mbongo wa miaka 10