na jeshi likichukua madaraka na kumtia kizuizini kikwete mwenyewe? au hajalifikiria hilo?
Mimi huwa wanani shangaza sana CCM, sijui kwanini huwa wanajitia VIPOFU kwa matukio mengine yanayotokea sehemu nyingine duniani. Jeshi likipindua nchi viongozi wote wakubwa wa serikali including RAIS huwekwa kizuizini na mara nyingine huuwawa na jeshi unless wakimbie nchi. Nashangaa sana CCM ambao ndiyo watakuwa waathirika wakubwa wa coup de'tat wanashabikia Jeshi kuchukua nchi. CDM na upinzani watakachopteza ni kuzuiwa kufanya siasa.