Ndesamburo, Owenya wapeta Moshi

Ndesamburo, Owenya wapeta Moshi

Ngulyagwene

New Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
4
Reaction score
1
Huyo Ndesa asikigeuze Chadema kuwa chama cha ukoo wake kwa kutumia hivyo vijisenti vyake.Huyo ni mzee aondoke aziachie damu changa huo Ubunge
 
Sema Ndesamburo na Familia yake waendelea kuitafuna CDM, wakati mwingine tukisema CDM ni chama cha Wachagga tunaonekana tuna chuki na Wachagga.
Ebu angalia sasa Ndesamburo na binti yake eti wamekosa wapinzani si vichekesho hivyo? si mseme watu wengine ni marufuku kugombea.
Kuna tofauti gani Ndesamburo na Gaddafi ki utawala
 
Nenda Moshı pale mjını ndıo utajua kuwa Ndesa wanampenda sana kwasababu anawaletea maendeleo ya kwelı
 
Nenda Mosh; pale mj;o utajua kuwa Ndesa wanampenda sana kwasababu anawaletea maendeleo ya kwel;
Kwani Gaddafi alikuwa hawaletei maendeleo wa Libya?
 
Nilimuuliza Mh Zitto juu ya mpangilio huu wa uongozi ndani ya CHADEMA na ambao wameuhamishia BUNGENI pia. Hakunijibu. Labda bado anatafakari. Wangeacha CHADEMA ikakua na kuimarika kwanza kwa WATANZANIA wote kama ilivyo CCM. Sababu moja kubwa ambayo mimi naiona ambayo inachangia mpangilio huu wa kifamilia ni kutoaminiana miongoni mwao wakubwa wa CHADEMA. Kila mkubwa anajitahidi kuwa na "mtu wake wa karibu" katika kila ngazi ya vikao na maamuzi.
 
Hongereni sana kwa kupata ridhaa ya wananchi bila ya harufu yoyote ya uchakachuaji.

Lakini msisahau kwamba kazi ndio kwanza inaanza na tungependa kuona matunda mazuri zaidi CHADEMA kwa ukanda wote huo wa Kaskazini mwa taifa letu.

Elimu ya uraia iende kwa kila mtu katika kila kiji na mlango ili kutuwezesha sote kujikomboa kiurahisi zaidi kuondokana naa huu utitiri waa mafisadi kila kona serikalini.
 
Hivi unafikiri wachaga hawana akili kama mlivyo wao wanaangalia anayewajali na kuwaletea maendeleo nyie bakini na ukabila wenu tu.
 
Huyo Ndesa asikigeuze Chadema kuwa chama cha ukoo wake kwa kutumia hivyo vijisenti vyake.Huyo ni mzee aondoke aziachie damu changa huo Ubunge
Ya magamba yamewashinda mmerukia nyumba ya pili bila hata hodi -- magambas kwa unafiki.
 
Nenda Moshı pale mjını ndıo utajua kuwa Ndesa wanampenda sana kwasababu anawaletea maendeleo ya kwelı

Ghadaf alitoa mpaka pesa kwa vijana wasio na kazi na hata bili za maji,umeme,na ada za mashuleni na mahospitalini Libya hazipo na bado dunia imemuona si mwana demokrasia! ndo ije kwa ndessa pesa wakati hata aliyofanya bado si furaha ya wana moshi wote zaidi ya wanachadema tena baadhi yao walipelekwa loliondo kwa helkopta kugonga kikombe cha kitapeli cha mchungaji!
 
2011-2009=2yrs=expired>>siisomi.
 
Hivi ilikuaje sredi ya 2009 haikupata mchangiaji hata mmoja halafu ghafla inaletwa leo? Au ndo yale ya "miaka 6 kauli moja"....(Ninamnukuu Ansbert Ngurumo katika makala yake ya Maswali Magumu - Tanzania Daima,Jpili 04 sept 2011 kuhusu kauli ya mkulu kwenye ishu ya makahama ya kadhi, baada ya miaka sita akiwa madarakani)
 
Igunga - mkakati wa kuelekea huko kwa wasukuma maandalizi yanaendelea...
 
Sijaelewa kuna nini hapa maana inaoneka taarifa ni ya 2009 lakini michango imeanza leo!

Mi nimempenda huyu dada kaolewa?
 
Kwani hamjui kuwa Ndesamburo ni Shareholder wa Chadema kama alivyo Mtei. Na siku zote mtoto wa nyoka lazima awe Nyoka. Mtei amemtoa mkwewe Mbowe na Ndesa katoa Mwanae kuangalia mali zao ndani ya Chedema.

Kila la kheir
 
Back
Top Bottom