Ntambaswala
JF-Expert Member
- Dec 7, 2008
- 255
- 78
Nilimuuliza Mh Zitto juu ya mpangilio huu wa uongozi ndani ya CHADEMA na ambao wameuhamishia BUNGENI pia. Hakunijibu. Labda bado anatafakari. Wangeacha CHADEMA ikakua na kuimarika kwanza kwa WATANZANIA wote kama ilivyo CCM. Sababu moja kubwa ambayo mimi naiona ambayo inachangia mpangilio huu wa kifamilia ni kutoaminiana miongoni mwao wakubwa wa CHADEMA. Kila mkubwa anajitahidi kuwa na "mtu wake wa karibu" katika kila ngazi ya vikao na maamuzi.
Wildcard,
Wanasema Volcano huwa haitokei ghafla vile tunavyoamini, bali huanza pole pole sana. Kwanza ardhi sehemu hiyo huanza kupata joto kidogo kidogo kisha joto kubwa hatimaye erruption hutokea.
Wilcard, naona na wewe umeanza kutoa joto kidogo kidogo muda sio mrefu uta errupt na kuwa volcano...........connecting the dots............