Ndesamburo kugombea tena Moshi Mjini

Hata akipumzika kweli wapo vijana wa kutetea jimbo,apumzike vizuri bila wasiwasi kabisa.
 


.......
 
Na Mugabe huyo huyo Amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Marais wa Afrika kwa kupigiwa Kura na akina Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa Chama chako CCM.Unasemaje hapo?

Unamtetea sana ndesamburo ili akusaidie kumuondoa Selasini rombo
 
anataka afie bungeni? mbona kunavijana wengi tu kama albart msando na wengine! jamani ubunge sio uchifu.
Tehe tehe tehe yale makuwadi wa mafisadi waliotangaza nia sasa hutawasikia! damn it!!Chama cha majambazi!!
 
anataka afie bungeni? mbona kunavijana wengi tu kama albart msando na wengine! jamani ubunge sio uchifu.

Tena sasa ana mpango wa kugombea tena.Wananchi ndio waamuzi wa Mwisho
 
nilifikiri ungalisema ndesamburo ana njaa ya posho ya ubunge kumbe uzee. Sasa wewe kijana account yako ina kiasi gani kabla hujaboneza key za computer ama simu yako
 
Nyie mnaotumia fedha kununua ubunge nendeni mkawekeze moshi mjini muone white elephant mzee kawaita mkapambane kasema mpunga upo pelekeni escrow ipambane na fedha clean. Moshi sio Kilindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…