Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,580
Amuulize Mugabe kinachomkuta.
Ametunukiwa Uenyekiti wa AU na baba yako Mkwele akiwemo.
Amuulize Mugabe kinachomkuta.
Ben hata ushabiki sio hivyo yaani bado unamuunga mkono Ndesa aendelee kugombea ubunge??? Come on hili jimbo awaachie vijana tunauheshimu mchongo wake lakini sasa basi
jafari Michael he can
Mbowe amekosa mvuto nini?
Anamiaka 99 zaidi ya mgabe.
Naona Mzee Ndesamburo anataka kufia kwenye ubunge.
Amuulize Mugabe kinachomkuta.
miaka au kwenu mnatumia kipimo gani zaidi?
Mbona wewe unafia kwenye ufisadi?
Mughabe hataanguka peke yake.
Vijana wenye njaa kama wewe nishida sana unamtusi baba yakoUnajua maana ya ufisadi? Fisadi ni mtu anayechukua wake za watu kama BABU.
Naona Mzee Ndesamburo anataka kufia kwenye ubunge.
Yeye na lowassa nani kachoka??
Yeye na lowassa nani kachoka??
Mbowe amekosa mvuto nini?
Ndesamburo
Umri wa lowasa ni sawa na mtoto wa kwanza wa ndesamburo
Ndesamburo ni mzee mpaka amepoteza kumbukumbu