Ndesamburo kugombea tena Moshi Mjini

Ben hata ushabiki sio hivyo yaani bado unamuunga mkono Ndesa aendelee kugombea ubunge??? Come on hili jimbo awaachie vijana tunauheshimu mchongo wake lakini sasa basi

jafari Michael he can

Sasa si usubiri hadi mwezi April maana ndio kanuni za uchaguzi zinavyosema ndani ya CHADEMA

Ndesa akiamua kuendelea hakuna ubaya na bado anakubalika

Nashangaa CCM ndio wanaomshambulia kila wakati ili asigombee.Si wamsubiri kwenye ballot box?
 
Ndesamburo ni mzee mpaka amepoteza kumbukumbu
 
Nnani ataanzisha ustaarabu humu tukamfuata, maana kusakamana kumetuchosha vichwa. Tuliwahi kuwa mojawapo wa mataifa Mastaarabu. Leo hii Mzee na mdogo huwatofautishi, ni vijembe mtindo moja. Kusakamana ni dalili ya kutaka kuvuruga vichwa vya watu ili tusielewe ukweli unaanzia wapi. Kwa hili wakulaumiwa ni wengi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…