Ndesamburo awalipua Polisi Kilimanjaro

Ndesamburo awalipua Polisi Kilimanjaro

mchwa mpaka

Member
Joined
Nov 18, 2009
Posts
35
Reaction score
70
Mbunge wa Moshi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mzee Philemon Ndesamburo ameamua kupeleka hoja binafsi katika Bunge la Bajeti baada ya Polisi kuwakingia kifua wafanyabiashara matajiri wanne wa Jiji la Mwanza wanaotuhumiwa kumuua kikatili kijana mmoja aitwaye James Massawe.

Inadaiwa baadhi ya Polisi katika ofisi ya RCO Kilimanjaro walikula mlungula ili kuvuruga upelelezi wa kesi hiyo. Naambatanisha PRESS RELEASE ya Ndesamburo ili mjisomee wenyewe kashfa hii nzito ndani ya Jeshi letu la Polisi.
attachment.php

attachment.php
attachment.php

Attachments

  • ndesamburo.jpg
    ndesamburo.jpg
    313.7 KB · Views: 4,235
  • ndesamburo2.jpg
    ndesamburo2.jpg
    323.1 KB · Views: 5,049
  • ndesamburo3.jpg
    ndesamburo3.jpg
    130.5 KB · Views: 3,900
  • IGP.jpg
    IGP.jpg
    212.7 KB · Views: 890
imewachukua wanafamilia muda mrefu kabla hawajawasilisha kero yao kwa mbunge! Mambo haya yalifanyika takriban miaka 6 iliyopita!
 
Haijawachukua muda mrefu kulalamika. Kumbuka hawa ndugu wameenda mpaka kwa DPP, DCI, IGP na kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ambaye ndiye mwakilishi wa Rais wakiamini hilo ndio mamlaka zinazopaswa kulifanyia kazi. Sasa baada ya vyombo hivyo kushindwa kuwasaidia ndio wameamua kutumia mhimili wa Bunge. Na usisahau hawa watuhumiwa walitoroka na ndio wamerejea na wanaendelea na biashara zao kama kawaida. Soma vizuri Press Release ya mzee Ndesa.
 
imewachukua wanafamilia muda mrefu kabla hawajawasilisha kero yao kwa mbunge! Mambo haya yalifanyika takriban miaka 6 iliyopita!
Ndio Hivyo mkuu..watu wanaotaabika huwa wanakuwa ktk too much stress na watz huwa hwajui sana wapi pa kwenda ,mwanzo,linaposhindikana na jinsi gani lifanyike ili vuzuizi na vitisho visifanikiwe.Hayo hawayajui wakiwa ktk peace wanapokuwa ktk war ni ngumu zaidi.
 
Sasa kama karatasi za ushahidi zinanyofolewa na jalada tofauti linapelekwa kwa DPP kwa maamuzi, kama hilo ni kweli kama nchi tumefikia pabaya
 
Wakati jamii inawasiwasi kuuwawa kwa polisi na wengine kufuraia matukio hayo wegine tunashanga.

Utawasikia CDM safi sana jeshi la polisi limezidi, mbona mwangosi sijui maandamano ya Arusha walifanya kadhalika.

Hivi polisi aliechinjwa rufiji, chalinze na sehemu zingine ambazo ata CDM hawajawi kukutana na misuko suko yao inakuwaje, kwanza wanajuaje kama hakuna hata polisi wanaowapigia kura CDM nje ya uniform zao.

Katika hali hii ambayo polisi public support hipo low anatokea mwanasiasa tena wa CDM kuandika habari chonganishi na polisi. Hivi hizi siasa za CDM ni design gani, huyu bwana kashindwa kumuandikia waziri wa mambo ya ndani na kumuelezea hiyo kesi kwanza asubiri majibu mpaka utoe linakila kama hili.

Ufuatiliaji wa mmbunge sio kila siku kupeleka hoja binafsi unaanza kwanza na wahusika kama hakuna majibu sahihi ndio swala unaenda nalo mbele, na lazima watu wajue hapa sio kuzuri kutoa maoni publicly kwa sababu ya chombo husika na image kwa watanzania wote, hawa jamaa i tell you hawafai kwa siasa zao CDM na watu wa dini inatengeza time bomb Tanzania aisee inabidi wajirekebishe na hizi siasa za majitaka.
 
Eric Cartman,

I don't know what exactly are you trying to insinuate

Kwanza,Leta ushahidi mahali ambapo CHADEMA kilishangilia mauaji ya Polisi

Pili,Mbunge ni Muwalilishi wa wananchi.Kosa liko wapi hapo?

Tatu,Chuki zako kwa CHADEMA zisikufanye uandike andike bila kufanya utafiti au bila kuwa na facts
 
Last edited by a moderator:

Na wewe hii habari kwanini usingeenda kumwambia mwenyewe mhusika unaileta huku?
 
Eric Cartman,

I don't know what exactly are you trying to insinuate

Kwanza,Leta ushahidi mahali ambapo CHADEMA kilishangilia mauaji ya Polisi

Pili,Mbunge ni Muwalilishi wa wananchi.Kosa liko wapi hapo?

Tatu,Chuki zako kwa CHADEMA zisikufanye uandike andike bila kufanya utafiti au bila kuwa na facts
CDM JF wamekuwa wakishangilia sana matukio ya polisi uwe una pitia thread za hayo matukio humu ndani, isitoshe sijasikia viongozi wao wakikemea au wakiliunga mkono jeshi la polisi matukio ya kuporwa silaha na askari wanapouliwa yanapojitokeza (uenda wana support).

Pili muwakilishi wa wananchi ana procedure za ufuatiliaji maswala, kama kaona kesi imefutwa kimakosa na ushahi anao angeweza kuandika barua kwa msimazi wa wizara ya mambo ya ndani ambae ni waziri apewe majibu kwa sababu hata huko bungeni atapewa jibu na mtu huyo huyo. Kutokana na image ya polisi (trustworthy) kwenye jamii kuwa muhimu hakuwa na sababu ya kuitoa barua yake public like this, hii ni irresponsible politics.

Tatu sina chuki na CDM sijui umeitoa wapi, its in your head only.
 
Back
Top Bottom