Ndesamburo awalipua Polisi Kilimanjaro

Ndesamburo awalipua Polisi Kilimanjaro

Hili tukio halina tofauti na lile la mwaka 2000 ambapo Mfanyabiashara Jaffar Abubakar amabaye alikuwa ni swahiba wa RPC Kilimanjaro wakati ule Mohamed Chicco na IGP Omar Mahita, alimuua bwana mmoja kwa kumfunga kamba mikononi, kumwagia mafuta ya taa kisha kumchoma moto. Yule bwana aliungua kwa asilimia 75 baadae akafa. Polisi wakatoa Press Release kuwa ameuawa na wananchi wenye hasira kali. Tunalishukuru Gazeti la Mwananchi lililia na kashfa hii hadi DCI wakati ule Adad Rajabu akaagiza kufanyika kwa uchunguzi upya bila kuwashirikisha Polisi Kilimanjaro na ushahidi mzito ukapatikana lkn bahati mbaya mtuhumiwa alikuwa ametorokea nje ya nchi na hadi leo anaswakwa na Interpol. Case ile haina tofauti na hii. Ushahidi ulivurugwa kwa makusudi. Leo polisi wanashikwa na kigugumizi kuwakamata watuhumiwa lkn najiuliza hivi hao ndugu wakafikia kikomo cha uvumilivu wakaamua kujichukulia sheriw mkononi mtawalaumu? IGP Mangu, hebu onyesha watanzania kuwa hili lililofanywa na ofisi ya RCO Kilimanjaro ni uhuni,hukubaliani nao na wachukulie hatua walioshirili ufisadi huu ili kurejesha heshima ya jeshi la polisi.
 
unaelewa maana ya press release? ,wewe ukikutana na waandishi wa habari ukatoa tamko lako la kimaandishi baadaye ukawanyima copy utakuwa umetoa press release au utakuwa umetoa mahubiri?

kwenye masuala yanayogusa uhai wa mtu nadhani tuwe nasi kama watu wazima,tuweke siasa zetu pembeni lakini tukiendekeza ujinga kama wa kwako wengi watakakosa haki wakiwamo ndugu zako hata kama si leo,kesho inawasubiri,
 
Casampeda acha ujinga wewe, ukiona una base kwenye ukabila hujue umefirisika akili.
 
Wakati jamii inawasiwasi kuuwawa kwa polisi na wengine kufuraia matukio hayo wegine tunashanga.

Utawasikia CDM safi sana jeshi la polisi limezidi, mbona mwangosi sijui maandamano ya Arusha walifanya kadhalika.

Hivi polisi aliechinjwa rufiji, chalinze na sehemu zingine ambazo ata CDM hawajawi kukutana na misuko suko yao inakuwaje, kwanza wanajuaje kama hakuna hata polisi wanaowapigia kura CDM nje ya uniform zao.

Katika hali hii ambayo polisi public support hipo low anatokea mwanasiasa tena wa CDM kuandika habari chonganishi na polisi. Hivi hizi siasa za CDM ni design gani, huyu bwana kashindwa kumuandikia waziri wa mambo ya ndani na kumuelezea hiyo kesi kwanza asubiri majibu mpaka utoe linakila kama hili.

Ufuatiliaji wa mmbunge sio kila siku kupeleka hoja binafsi unaanza kwanza na wahusika kama hakuna majibu sahihi ndio swala unaenda nalo mbele, na lazima watu wajue hapa sio kuzuri kutoa maoni publicly kwa sababu ya chombo husika na image kwa watanzania wote, hawa jamaa i tell you hawafai kwa siasa zao CDM na watu wa dini inatengeza time bomb Tanzania aisee inabidi wajirekebishe na hizi siasa za majitaka.

Loh mkuu kwa nn umepaniki hivi; hili si jambo la kisiasa kiasi cha kuingiz uccm na uchadema hata kidogo hili juu yahaki ya kuishi ya kila mmoja na uwajibikaji kwa yeyote mwenye wajibu wa kuilinda nakuitetea haki hiyo.
Kumbe unaweza kujionyesha ujinga wako na yalojaa kichwan mwako kwa jambo ambalo haliitaji ujinga!
Wana jf si kila maramihemko ya siasa ituongoze jaman tutumie busara kwenye mambo serious kama hili.Ingekua ww ndie ulofanyiwa haya usingekua na roho ya chuki kiasihiki
 
Na mimi pia sikulifanya la kisiasa nimezungumzia timing yake; Ndesamburo kama kiongozi anatakiwa ajue at this moment in time baada ya matukio ya kuuwawa kwa polisi jamii inatakiwa kujengewa mazingira ya trustwothy na chombo cha polisi hili washirikiane kwa manufaa ya pande mbili.

Statement kama hizi hazijengi daraja zaidi ya kuongeza nyufa zilizopo. Kama umeisoma hiyo barua yake anajua matatizo yalipo na muhusika wa kumpa majibu kama lengo ni kutafuta haki angeandika barua kwanza kwa waziri kuhusiana na concerns zake.

Kitendo cha kuiweka barua public maana yake ni nini? Huko ni kutafuta haki au kulichafua jeshi la polisi. Sikatai anayosema yanaweza kuwa ndio yaliyotendeka lakini lazima wajue uongozi ni dhamana na wana social responsibility ya wananchi kuviamini vyombo vya judicial kama yeye alibaini mapungufu angeweza pitia through the right channels first asingejibiwa ninge elewa lakini ajafanya hivyo na kukimbilia kutoa matamshi ambayo ni ya kichonganishi sasa hizo ndio cheap politics zenyewe.
 
Mbona ndugu mnatoana povu,jiulizeni pia huyo alieuwawa si nae pia aliua Mama mzazi wa hao jamaa,na istoshe wanaweza kuwa wanao ushahidi wa kutosha kumhusisha na mauwaji ya mama yao mzazi,sema tu kwa hili limekutana na koo zote zinashindana kuonyeshana pesa,lakin ukweli wa jambo hili huyu alieuwawa aliuwa pia....alistahili hukumu hiyo....
 
Watuhumiwa waliachiwa baada ya DPP kutoa mwongozo kwamba ushahidi wa kuwatia hatiani hautoshi. Sasa Polisi wana kosa gani?
 
Polisi wetu hao
 
Attachments

  • 1428426445522.jpg
    1428426445522.jpg
    13.9 KB · Views: 433
Na mimi pia sikulifanya la kisiasa nimezungumzia timing yake; Ndesamburo kama kiongozi anatakiwa ajue at this moment in time baada ya matukio ya kuuwawa kwa polisi jamii inatakiwa kujengewa mazingira ya trustwothy na chombo cha polisi hili washirikiane kwa manufaa ya pande mbili.

Statement kama hizi hazijengi daraja zaidi ya kuongeza nyufa zilizopo. Kama umeisoma hiyo barua yake anajua matatizo yalipo na muhusika wa kumpa majibu kama lengo ni kutafuta haki angeandika barua kwanza kwa waziri kuhusiana na concerns zake.

Kitendo cha kuiweka barua public maana yake ni nini? Huko ni kutafuta haki au kulichafua jeshi la polisi. Sikatai anayosema yanaweza kuwa ndio yaliyotendeka lakini lazima wajue uongozi ni dhamana na wana social responsibility ya wananchi kuviamini vyombo vya judicial kama yeye alibaini mapungufu angeweza pitia through the right channels first asingejibiwa ninge elewa lakini ajafanya hivyo na kukimbilia kutoa matamshi ambayo ni ya kichonganishi sasa hizo ndio cheap politics zenyewe.

attachment.php
 
How typical? Huu ndio utaratibu wa kuendesha Taasisi za umma no internal culture sasa kama chombo cha usalama kina acha waajiriwa wake wawe hivi (kuruhusiwa kuingia bar na uniform) wataweza kweli kuwadhibiti kwa rushwa. Ina taka mtu ajue adhabu yake kwa kuichafua taasisi muhimu kama hii. Ukitoa mifano kama 20 wengine watanyooka tu.

Lakini hili alina uhusiano na hoja presented fungulia thread yake.
 
Wabunge wa kwetu wangekuwa wanatekeleza wajibu wao kama Ndesamburo, mauaji ya Albino yangetoweka! bahati mbaya sana Wabunge wa kule kwetu ndo beneficiaries wa Mifupa ya Albino... Kudos Ndessa Pesa...
WACHAGA wanaumoja sana.
 
Jeshi la police lichafuliwe ? Toka lini iliwahi kuwa safi? R.I.P Mwangosi... Matokeo ya Police kuuawa na kuporwa silaha ni matokeo ya ndoa yao na majambazi!!! Ukifuatilia kwa makini utakuta wamedhulumiana fedha ... Laiti wangekuwa wanafanyakazi zao ipasavyo ungekuta siku nyingi sana wahalifu wamekamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sharia... bahati mbaya sana police wanatumiwa kama Mbwa ya CCM ... R.I.P Kamanda Balow ...
Na mimi pia sikulifanya la kisiasa nimezungumzia timing yake; Ndesamburo kama kiongozi anatakiwa ajue at this moment in time baada ya matukio ya kuuwawa kwa polisi jamii inatakiwa kujengewa mazingira ya trustwothy na chombo cha polisi hili washirikiane kwa manufaa ya pande mbili.

Statement kama hizi hazijengi daraja zaidi ya kuongeza nyufa zilizopo. Kama umeisoma hiyo barua yake anajua matatizo yalipo na muhusika wa kumpa majibu kama lengo ni kutafuta haki angeandika barua kwanza kwa waziri kuhusiana na concerns zake.

Kitendo cha kuiweka barua public maana yake ni nini? Huko ni kutafuta haki au kulichafua jeshi la polisi. Sikatai anayosema yanaweza kuwa ndio yaliyotendeka lakini lazima wajue uongozi ni dhamana na wana social responsibility ya wananchi kuviamini vyombo vya judicial kama yeye alibaini mapungufu angeweza pitia through the right channels first asingejibiwa ninge elewa lakini ajafanya hivyo na kukimbilia kutoa matamshi ambayo ni ya kichonganishi sasa hizo ndio cheap politics zenyewe.
 
Sasa kama karatasi za ushahidi zinanyofolewa na jalada tofauti linapelekwa kwa DPP kwa maamuzi, kama hilo ni kweli kama nchi tumefikia pabaya

Hii nchi inahitaji wazalendo wa kweli
 
Mbunge wa Moshi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mzee Philemon Ndesamburo ameamua kupeleka hoja binafsi katika Bunge la Bajeti baada ya Polisi kuwakingia kifua wafanyabiashara matajiri wanne wa Jiji la Mwanza wanaotuhumiwa kumuua kikatili kijana mmoja aitwaye James Massawe.

Inadaiwa baadhi ya Polisi katika ofisi ya RCO Kilimanjaro walikula mlungula ili kuvuruga upelelezi wa kesi hiyo. Naambatanisha PRESS RELEASE ya Ndesamburo ili mjisomee wenyewe kashfa hii nzito ndani ya Jeshi letu la Polisi.
attachment.php

attachment.php
attachment.php

RPC na RCO wote nchini, wanachukua sana Rushwa, halafu TAKUKURU wanalijua hili but huwa wanajikausha...!
 
Jeshi la police lichafuliwe ? Toka lini iliwahi kuwa safi? R.I.P Mwangosi... Matokeo ya Police kuuawa na kuporwa silaha ni matokeo ya ndoa yao na majambazi!!! Ukifuatilia kwa makini utakuta wamedhulumiana fedha ... Laiti wangekuwa wanafanyakazi zao ipasavyo ungekuta siku nyingi sana wahalifu wamekamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sharia... bahati mbaya sana police wanatumiwa kama Mbwa ya CCM ... R.I.P Kamanda Balow ...
Ndio hoja yangu ilipo ya irresponsible release of such statement aijengi daraja la kuaminiana na chombo cha polisi zaidi ya kuongeza detachment na wale wenye maoni kama yako. Polisi ni chombo muhimu katika jamii na lazima kuwe na dhana ya kuamini hipo kwa sababu za usalama wa raia na kutenda haki ili kuboresha ushirikiano.

Ndesamburo anatakiwa kujua hizo sio responsible politics wewe una chuki kwa sababu za uchadema mwengine anaweza shawishika kutokana na video za wale jamaa magaidi uchwara na yeye kudhani anaweza wadhuru polisi ikiwa wanasiasa pia wanawaambia wananchi polisi si wa kuaminiwa tena.

He should have known better.
 
Back
Top Bottom