Ndege za Fast Jet zina matatizo gani?

Ndege za Fast Jet zina matatizo gani?

Wewe unafanya kazi hapo airport yani hata kuandika ni shida? Au nyie ndo watoto wa bamdogo , shule failure afu unakuwa manager, dah jifunze kuandika unatia aibu mfanyakazi wa uwanja wa ndege kuandika kama mtoto wa darasa la kwanza

ww utakuwa ni mgeni wa hapa jf Pdidy ni raia wa china kaja kujifunza kiswahili tz kwa sis tumeshamzoea
 
Last edited by a moderator:
Wewe unafanya kazi hapo airport yani hata kuandika ni shida? Au nyie ndo watoto wa bamdogo , shule failure afu unakuwa manager, dah jifunze kuandika unatia aibu mfanyakazi wa uwanja wa ndege kuandika kama mtoto wa darasa la kwanza

Kweli aisee watu wanatia aibu,jitu linaandika vibaya mpaka linakera...kwa kweli inashangaza kuona mtu hawezi kujieleza au kuwasilisha taarifa kwa lugha ya kiswahili yaani watu mamburula mpaka basi khaa!!mmezidi jamani hebu jirekebisheni inashangaza kuona mtu hata kiswahili hajui.Haya basi iwasilishe hiyo habari kwa lugha ya kiingereza labda ndo lugha unayoifahamu kwa ufasaha.
 
Back
Top Bottom