Ndege za Fast Jet zina matatizo gani?

Ndege za Fast Jet zina matatizo gani?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,892
Katika muendelezo wa ku cxd ndege mara kwa maraa

sasa zoezi hili limehamia fastjet ambapo hivi punde abiria wameanza kuhangaika huku na kule kutafuta njia mbadala kuelekea makwao

hata hivyo ilikuwa ni announcement ya maana pale walipoambiwa ndege itandoka saa moja na dk 20 kwa wale wenye

kuendelea kusubiri tunaomba wanifwate kuelekea kupata chakula cha mchana na kwa wale wenye kuamua kuondoka na

ndege nyingine tunaomba mumfwate mtu anashuka chini muweze kurudishiwa pesa zenu

Zoezi hili la kurudisha pesa za watu ndege nyingi limekuwa likiwafukuzisha wafanyakazi hasa wa ticket pale wanapokuwa

wamewawekea cha juu abiria na gafla mteja anataka arudishiwe pesa yoote maisha yanakuwa magumu sana upandee wao

hata hivyo hongereni fastjet kwa kuweza ku control zoezi hili Pongezi kwa kadada kamoja ka swissport kamekuwa kakisimama na kuwajibu watu shida zao tofauti na airline nyingine wengi wamekuwa wakikimbia shida kama hizi
na wengine hata kuzima simu ...ingawa ni dada wa swissport naamini anahusika na fastjet pia

Kula tano dada hata vidume aviwezi kutangaza dly kama wewe ....

Mwisho furaha yangu kuona ndege hii ya maskiini tajiri kuweza kuondoka

NB:Tafadhalini hata kama wataaondoka saa sita usiku jitahidini ndege irekebishwe ifanyiwe service ,,tunajua zinafanya kazi sana ndege chache rte nyingi twaamini bado mna nafasi ya kufanyia service kwa wakati
 
Hivi huyu Pdidy ameenda shule japo kaform four jamani?? Maana andika yake Mmmm!!!!!
 
FastJet wafanyakazi wao ni mama na baba ntilie wa kwenye ndege! wanauza vinywaji na vitafunwa!
 
Lile sakata la kuchelewesha ndege limeingia nyakati nyingine tena na safari hii baada ya abiria

kutangaziwa kuchelewa kuondoka kwa ndege na wenye kutaka kusubiri kupatiwa chakula cha mchana sasa

imeanza dana dana na wengine wameekimbilia j eshi la polisi kuomba msaada

hayo yakiendeleea baadhi ya abiria wanadai wamedanganywa na m tu mmoja toka makao makuu wanaletewa
voucher
ya chakula mpaka sasa akuna kilichofanyika na hivyo wameamua kuomba serikali kupitia police kuwasaidia

Hata hivyo mhusika huyo alipoitwa na polisi alikiri kuchelewesha watu kupewa voucher za kula na sasa wanaenda juu

kulipia na hivyo sakata hilo kuishia hapo

Kweli jamani toka sa sita mpaka sasa amjawapa watu chakula hii sheria inasema kuhusu ndege kuchelewa
 
itakuwa kashapandikizwa mtu ktk management kuwamaliza kibiashara bila wao kujua!maana walitukamata kisawasawa sie wapenda unafuu! pole kwa wasafiri nataraji hadi muda huu wameshakula.
 
mayawi pole sana unajua hata marubanio wetu wa ndege wengi awajafika form four

ila kukusaidia mi nimepita huko kwenye shule zote unazozijua na pengine Mungu akinisaidia kama unavyoanza na jina la D...Mrema

unaweza kuanza kuniita mwakani Mungu anapopenda usifadhaike maana mimii nipo pamoja nawe

hilo neno la Leo lishike lifanyie kazi
 
mmmh hapo kuna wengine wametoa 32000 na ndo wanakua wakali kupitiliza.... ukimuangalia kwa mbali utadhani alikata tiket leo asubuhi kwa 200 plus
 
Shelisheli kisiwa kidogo kama wilaya ya kinondoni lakini wana ndege. Sisi tupo bize kupeana zawadi ya bilion moja.
 
kama una mzigo fast jet haikufai,kama mtu wa kughairi ghairi safari(baada ya kukata ticket kama mie haikufai na kama mtu w.
Hili kimeo.
 
Katika muendelezo wa ku cxd ndege mara kwa maraa

sasa zoezi hili limehamia fastjet ambapo hivi punde abiria wameanza kuhangaika huku na kule kutafuta njia mbadala kuelekea makwao

hata hivyo ilikuwa ni announcement ya maana pale walipoambiwa ndege itandoka saa moja na dk 20 kwa wale wenye

kuendelea kusubiri tunaomba wanifwate kuelekea kupata chakula cha mchana na kwa wale wenye kuamua kuondoka na

ndege nyingine tunaomba mumfwate mtu anashuka chini muweze kurudishiwa pesa zenu

Zoezi hili la kurudisha pesa za watu ndege nyingi limekuwa likiwafukuzisha wafanyakazi hasa wa ticket pale wanapokuwa

wamewawekea cha juu abiria na gafla mteja anataka arudishiwe pesa yoote maisha yanakuwa magumu sana upandee wao

hata hivyo hongereni fastjet kwa kuweza ku control zoezi hili Pongezi kwa kadada kamoja ka swissport kamekuwa kakisimama na kuwajibu watu shida zao tofauti na airline nyingine wengi wamekuwa wakikimbia shida kama hizi
na wengine hata kuzima simu ...ingawa ni dada wa swissport naamini anahusika na fastjet pia

Kula tano dada hata vidume aviwezi kutangaza dly kama wewe ....

Mwisho furaha yangu kuona ndege hii ya maskiini tajiri kuweza kuondoka

NB:Tafadhalini hata kama wataaondoka saa sita usiku jitahidini ndege irekebishwe ifanyiwe service ,,tunajua zinafanya kazi sana ndege chache rte nyingi twaamini bado mna nafasi ya kufanyia service kwa wakati

Wewe unafanya kazi hapo airport yani hata kuandika ni shida? Au nyie ndo watoto wa bamdogo , shule failure afu unakuwa manager, dah jifunze kuandika unatia aibu mfanyakazi wa uwanja wa ndege kuandika kama mtoto wa darasa la kwanza
 
Ila jamani kanatusaidia saana hako ka bodaboda ketu,ne nimekujanako juzi saafi kabisa kumbe kamezengua tena jamani?turudishieni shilika letu la ndege enyi wanasiasa kama kuchuma mbona mshachuma saana
 
Back
Top Bottom