Hakunaga kitu cha hivi mkubwa. Ndege haitafutwi manually hivi kama tracking ya nyayo za ndezi.
Kawaida ndege inapoondoka kiwanja fulani, labda A huwa rubani anajaza flight plan, ambapo anaweka altenative aerodromes/airports, labda B,C na D, in case of emergency.
Hivyo viwanja vya altenative ni lazima viwe kwenye au jirani na route ya ndege, huwezi kuweka altenative airports za kusini wakati unaenda Kaskazini.
Kwa maana hiyo tracking ya ndege inayohisiwa kupotea huenda kwa kuanza na kuangalia altenative airports zilizokuwa filed na pilot akiondoka.