NDEGE YAPOTEA mazingira ya kutatanisha

Shida ya ndege ni kwamba inabeba kiasi cha mafuta ambayo yanakuwa calculated into hours.

Sasa ukiona ndege haipo kiwanja chochote huku duniani, then masaa ya mafuta(endurance) tangia departure yameshapita, then lazima mjue hiyo ndege ipo mahali fulani porini au baharini ikiwa vipandevipande.
 
Una maana wamepanda ndege nyingine kuifuatilia hii iliyopotea, wao hawaioni hatari ya kupotea pia!!!
Hakunaga kitu cha hivi mkubwa. Ndege haitafutwi manually hivi kama tracking ya nyayo za ndezi.

Kawaida ndege inapoondoka kiwanja fulani, labda A huwa rubani anajaza flight plan, ambapo anaweka altenative aerodromes/airports, labda B,C na D, in case of emergency.

Hivyo viwanja vya altenative ni lazima viwe kwenye au jirani na route ya ndege, huwezi kuweka altenative airports za kusini wakati unaenda Kaskazini.

Kwa maana hiyo tracking ya ndege inayohisiwa kupotea huenda kwa kuanza na kuangalia altenative airports zilizokuwa filed na pilot akiondoka.
 
Kwenye ndege kuna mengi sana..but kama kuna tatizo la kiufundi linatokea,kuna manual wanasoma kama tatizo ni kubwa au kuna option nyingine.kama hakuna ndio wanahamua kama warudi au watatua airport ya karibu..lakini asikwambie mtu na mungu atuepushie mbali.kile chombo kizuri lakini kukitokea tatizo mkipona mungu mkubwa maana ata hao marubani pia wanapanic hatari..
Flight crew huwa moja ya modules zao katika masomo yao ni kutokupanic pindi wanapohisi shida kwenye ndege.
Rather wanafundishwa kutoa matumaini kwa abiria hadi ndege itakapocrash, au la itakapopona.
Hizi kazi hizi, acha tu!
 
Ni kweli..ndio maana wanapewa course ya crm..lakini mimi nimeshuhudia kama kesi tatu watu wamepanic mpaka awezi kuongea na abiria..acha tu tusiharibu jpili njema mimi nilikuwa kwenye aviation kwa miaka mingi sana..
 
Shida ya ndege ni kwamba inabeba kiasi cha mafuta ambayo yanakuwa calculated into hours.

Sasa ukiona ndege haipo kiwanja chochote huku duniani, then masaa ya mafuta(endurance) tangia departure yameshapita, then lazima mjue hiyo ndege ipo mahali fulani porini au baharini ikiwa vipandevipande.

Well explained!

Hakunaga kitu cha hivi mkubwa. Ndege haitafutwi manually hivi kama tracking ya nyayo za ndezi.

Kawaida ndege inapoondoka kiwanja fulani, labda A huwa rubani anajaza flight plan, ambapo anaweka altenative aerodromes/airports, labda B,C na D, in case of emergency.

Hivyo viwanja vya altenative ni lazima viwe kwenye au jirani na route ya ndege, huwezi kuweka altenative airports za kusini wakati unaenda Kaskazini.

Kwa maana hiyo tracking ya ndege inayohisiwa kupotea huenda kwa kuanza na kuangalia altenative airports zilizokuwa filed na pilot akiondoka.

Kweli kabisa! Ndiyo maana mfano, ndege ikiwa inatoka Sydney (Australia), haiwezi kupasua bahari moja-kwa-moja kuja DSM (Tanzania). Kwasababu za kiusalama wakati wa dharura, hivyo itapitia "flight route" ya Bangkok (Thailand) kuelekea Mumbai (India),na kumalizia JKIA (Kenya) kuja DSM (Tanzania). Nilijiuliza sana mwanzoni nilipokuwa sifahamu "kwanini wanazunguka weee na kuacha kufuata njia mkato?!

Flight crew huwa moja ya modules zao katika masomo yao ni kutokupanic pindi wanapohisi shida kwenye ndege.
Rather wanafundishwa kutoa matumaini kwa abiria hadi ndege itakapocrash, au la itakapopona.
Hizi kazi hizi, acha tu!

Hawa jamaa wanafanya kazi huku wakijua "uwezekano wa kudondoka ni mkubwa sana" kwani wanaruka kariub kila siku!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom