Ndege yaelekea kuanguka

Status
Not open for further replies.
Nadhani Alshababu wa Amboni wameitungua!
 

Lugalo ipi mkuu? Iringa ama Dar?
 
Acha ushamba wewe tulikuwa tunapiga zoezi tu na yale ni machejo tu...........
 
Hahahhaaaa umenikumbusha mtwivila,kihesa,mlandege mpaka gangilonga kwa mama msovela wa kitimoto!!!!kitambo!!

Mkuu, nadhani unamaanisha kwa "mama Siyovela". Hakika umenikumbusha mbali sana. Pamoja sana Kiongozi.
 
Muda alioposti ni saa tatu asubuhi.....Mwanzoni nilidhani yuko serious.....

Ndo akanikumbusha jamaa alikuwa amevuta bangi akaona ndege ya Emirates inapita chini sana karibu na paa la nyumba. Akapiga ukunga kama wa mkuu kuwa ndege inapita chini inaenda kuanguka.....

Madhara ya matumizi ya vileo vikali haya
 
may day may day
completely engine failure
 
Mkuu, nadhani unamaanisha kwa "mama Siyovela". Hakika umenikumbusha mbali sana. Pamoja sana Kiongozi.

Kweli mkuu jina lilinitoka kidogo kitambo sana tosa boys 2003 ndio tulikua tunatumia t.m.o zetu kwa mama hapo sijui bado yupo!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…