Mwembamba11
Member
- Feb 16, 2015
- 8
- 2
mungu awanusuru
Mind you JF haipo hapa kukufurahisha wewe na wajinga wenzio.
Plane is down, i repeat plane is down....we need a medic……………
Duu kweli tunatofautiana sana kuelewa. Anasema kuwa yuko eneo la Lugalo ameona ndege ndogo angani ambayo anahisi inaelekea kuanguka maana kaiona inayumbayumba na inatoa moshi (hii inamaanisha moshi unaotoka siyo wa kawaida)
Hii ID naijua. .hahaha ..kwa anaetaka kuandika maandishi ya blue like ni kuadd..hahah! Nimemiss madodoso!