Ndege yaelekea kuanguka

Ndege yaelekea kuanguka

Status
Not open for further replies.
Nadhani Alshababu wa Amboni wameitungua!
 
Nipo Lugalo hapa, nimeona kuna ndege ndogo, ikiyumba na kutoa na moshi, inaelekea kuanguka, imeelekea upande wa mbali kidgo. Ningeweza fatilia na kuleta picha hapa, maana itakuwa imeanguka si mbali, ila nimebanwa. Alie karibu zaid na mwenye uwezo alete.info za kutosha na picha kwa faida ya wengi.

Lugalo ipi mkuu? Iringa ama Dar?
 
Hahahhaaaa umenikumbusha mtwivila,kihesa,mlandege mpaka gangilonga kwa mama msovela wa kitimoto!!!!kitambo!!

Mkuu, nadhani unamaanisha kwa "mama Siyovela". Hakika umenikumbusha mbali sana. Pamoja sana Kiongozi.
 
Nothing serious maybe.........

Republic_Day_Celebration_Air_Show.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Kig
Muda alioposti ni saa tatu asubuhi.....Mwanzoni nilidhani yuko serious.....

Ndo akanikumbusha jamaa alikuwa amevuta bangi akaona ndege ya Emirates inapita chini sana karibu na paa la nyumba. Akapiga ukunga kama wa mkuu kuwa ndege inapita chini inaenda kuanguka.....

Madhara ya matumizi ya vileo vikali haya
 
nipo lugalo hapa, nimeona kuna ndege ndogo, ikiyumba na kutoa na moshi, inaelekea kuanguka, imeelekea upande wa mbali kidgo. Ningeweza fatilia na kuleta picha hapa, maana itakuwa imeanguka si mbali, ila nimebanwa. Alie karibu zaid na mwenye uwezo alete.info za kutosha na picha kwa faida ya wengi.
may day may day
completely engine failure
 
Mkuu, nadhani unamaanisha kwa "mama Siyovela". Hakika umenikumbusha mbali sana. Pamoja sana Kiongozi.

Kweli mkuu jina lilinitoka kidogo kitambo sana tosa boys 2003 ndio tulikua tunatumia t.m.o zetu kwa mama hapo sijui bado yupo!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom