Ndege yaelekea kuanguka

Ndege yaelekea kuanguka

Status
Not open for further replies.

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,255
Nipo Lugalo hapa, nimeona kuna ndege ndogo, ikiyumba na kutoa na moshi, inaelekea kuanguka, imeelekea upande wa mbali kidgo. Ningeweza fatilia na kuleta picha hapa, maana itakuwa imeanguka si mbali, ila nimebanwa. Alie karibu zaid na mwenye uwezo alete.info za kutosha na picha kwa faida ya wengi.
 
Mmmmmh. Tuombe isitokee hivyo
 
Kuna kipindi niliona ndege 2 za jeshi zinafanya mazoezi nikiwa Tabata,isije ikawa ndizo..
 
Imeanguka Tayari,walikumemo Nape Nnauye,Mwigulu Nchemba,Kinana na Ramadhani Ighondu Yule Wa TISS,nasikia Wamekufa Wote.
 
Eneo lilitajwa (isipokuwa uelekeo) ambalo hiyo ndege ili overfly ni nyeti sana nakaribia kutoka job,hakuna taarifa yeyote mpya.Tumefanya mawasiliano na marubani waliopita nearby the posibility area,they reported everthing looks normal.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom