Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
- Thread starter
-
- #21
Watanzania hamna tukiwezacho Ila ushirikina Na uchawi. Taifa hili linejengwa kwenye misingi ya matambiko, mazindiko, makafara Na ibada za sanamu ikiwemo ibada za mwenge. Vyote hivi ni machukizo mbele ya Mungu aliye hai.
Tusipotubu, hatutatoboa kamwe
Au wewe unanitaka??
Hhahahahahahaahha imepenya hiyoooooooooooo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Drone inarekodi bongo movie
Cc: mshana jr
Kaawaida tu myUmetisha kwakweli, uPO juuu
Tatizo hakuna michongo! So watu kibao wapo 'idle' linalotokea hata mtoto akijinyea barabarani ni habari tena "breaking news"Habari wanazozipenda watz ndo kama hizo.Hazina maendeleo yoyote zaidi ya ujinga tu.
Watakuwa wanafanya utafiti labdaWachawai wataalamu aissseh!najiuliza hapo wanatoshaje?
Hhahahahahhmajaribio ya ndege za kivita
Kaawaida tu my
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Drone ya CCM hiyo inafanya tafiti